computer skills! computer skills! wakazi wa mwanza

adabet

Member
Dec 14, 2010
6
0
kazi kwenu wakazi wa mwanza ,ADEM sasa ipo mwanza kutoa mafunzo mbali mbali kwa ngazi ya diploma na sertificate,kwa masomo ya uongozi na utawala pamoja na kozi za kompyuta,chuo kimesajiliwa ni chuo cha serikali. chuo kipo makongoro kliniki karibu na MSD bohari ya madawa ndani ya eneo la kisomo,fika kwa maelezo zaidi.
 
Back
Top Bottom