Recent content by actually

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ccm Hoi Handeni,Chadema Wanaelekea Kushinda

    ccm 13519,chadema 614,cuf 2419.,matokeo ya mwisho.mbunge mteule ni Kigoda Omar Abdalah
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kleruu Teacher's College

    Dah nimekumbuka mbali kipind nasoma hapo kila jion lazima nifike kihesa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kibongo acheni hizo, mnaboa sana

    Ahahahhaa asante kwa kunipunguzia stress
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kwa mgawanyo huu wa wapiga kura, Lowassa kumshinda Magufuli ni ngumu

    Ila vijana wengi wa jinsia ke wanausiri mkubwa huwezi fahamu wapo upande gani either ukawa or ccm.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Picha: Mama Lowassa afanya kufuru Iringa Mjini

    Wanajifanya kusahau cjui kwa nn watu wanajitoa ufahamu kiasi hiki
  6. A

    JamiiForums Tanzania Lowasa anasubiri kuapishwa tuu

    Inawezekana lowasa akawa rais lakin co rahisi kama tunavyofikiri uchaguzi ni zaidi ya kupiga kura
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Edward Lowassa Arumeru -Oktoba 8, 2015

    Trh 25 ifike tu haya mambo yaishe tu yanachosha
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kwa Wale wa Institute Of Finance Management IFM...Tukutane Hapa

    Hicho chuo kwa nje kinaonekana rahisi ila ukiingia kwenye mfumo ni balaa kudisco na kurudia mwaka ni nje nje kaza buti ukianza masomo
Back
Top Bottom