Hapa kazi tu!
we jaza misukule sijui kura hiyo misukule itpigia kuzimuMagufuli Jana hy, USA river
Hapa kazi tu na huku ujira wako mdogo..... Wazazi na ndugu zako wanazidi kuteseka huko vijijini, then unaimba hapa kazi tu.... Buree kabisa
Acheni kujidanganya kuku nyie,nani atapeleka ikulu maiti hai.
Hadithi / hekaya za Abnuasi;- Tumevunja ngome yaUKAWA Arushaaa!!!!!. Mhmmmmmh Kampeini yingine bwana watu wazima ovyo kabisa. Sasa hii nyomi imedodoka toka mbinguni au? Na ndo kwanza Hon EL alikuwa hajafika na no FUSO at all and cash on hand as well. MABADILIKO IS INNEVITABLE.
Wananchi wakiwa kwenye viwanja vya Usa river, Arumeru Mashariki wakimngoja Mh. Edward N Lowassa aongee nao...
NB: Saa tisa kamili, Mkutano mkubwa ambao haujawahi kutokea dunia utakuwa Live ITV....
Acheni kujidanganya kuku nyie,nani atapeleka ikulu maiti hai.
Achana nae huyo asikutoe kwenye mood. Watu wengine ni sawa na kuona kinyesi wakati unaenda kupata lunch
View attachment 296208
Huo ndio ulikuwa ukurasa wa mbele wa gazeti la mtanzania ambalo halikuonekana mtaani tar 7
Kama halikuonekana Wewe umelionaje?