Recent content by acrobatic

  1. acrobatic

    Watatu wanyongwa mkoani Kilimanjaro na kisha maiti zao kutelekezwa

    Jamaa mmoja anaitwa bob marle nimesoma naye kilema primary sema yeye alinitangulia madarasa mawili na alikuwa muhuni na jambazi na alitoka jela mwaka jana mwez wa 10 au 11 na mwingine ni jose amezaa na mtoto wa baba yangu mkubwa, huyo jose ni mtu wa rombo na alihamia kijiji kilema kama dereva...
  2. acrobatic

    Kwa staili hii, hakuna atakawapigia kura wapinzani

    Ulio andika huu upuuzi fuatilia serekal za mitaa ualafu ndio uonge nyau jike wewe.
  3. acrobatic

    Chadema wapanga kuvuruga uchaguzi, red brigade kutumika!

    yani wewe nikiazi tena kiazi kilicho kufa hata ukipike vipi hakiivi yani chadema tumanye vurugu wakati tunajua kila kitu ni chetu yani hapo nimuda wako 2 umepoteza kupost hakuna anaye danganyika na hzo bukusaba zenu m nimekula na bado kura hakuna mafisadi wakubwa nyie. Pia 2015 mlete tena but...
  4. acrobatic

    Chadema wapanga kuvuruga uchaguzi, red brigade kutumika!

    nahisi alipo sasa hivi huyu dada ni balaa mungu wangu hata mumewe sidhani kama usiku wa leo alipata haki yake ya ndoa
  5. acrobatic

    Juliana shonza ulishindwa mbeya utaiweza Arusha

    weka na supergul bt CHADEMA ndio habari ya town.
  6. acrobatic

    Unlimited internet Inauzwa kwa mwezi mzima sh 10,000 tu

    kiukwel wakubwa nataman sana nipate hzo vocha nifanyeje?
  7. acrobatic

    free internet :GURU INTERNET TUNNEL KWA KILA MEMBER WA JAMII FORUMS............

    jamani naomba maelekezo naweza vp kupata internet ya bure?
  8. acrobatic

    Arusha: Kijana wa CHADEMA aliyelazwa hospitali, ahusishwa na ulipuaji bomu

    Kwani polisi ni kina nani? Wao wana sapot serekali lakn na inani ipo shku hayo mabom ya machozi na majiya kuwasha yatawaishìa maana sasa nimapambano mwanzo mwisho hakuna kurud nyuma
  9. acrobatic

    Simba Sport Wakata Rufaa?

    Simba wamezoeya kubebwa ndio maana
  10. acrobatic

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    Hahahaah prison mtarajiwa anachukuwa nchi
Back
Top Bottom