sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Hahahaaa! Ila Mwigulu ana dhambi hivi kama ana huruma nae si ampeleke india akafanyiwe surgery? Ccm wakatili sana
Umeonae? Nilishawahi kujiuliza hilo swali... Hivi kama kweli wana huruma na musa tesha kwanini wasimpeleke kutibiwa india? Ingekuwa ni yeye angekuwa anajizungusha juani na yale makovu jamani??? Yaani mwigulu ye muache Mungu atamuadhibu siku sio nyingi!