Simba Sport Wakata Rufaa?

Simba Sport Wakata Rufaa?

Siasa na mpira haviendani abadani! Simba fc jipangeni kuanzia uongozi wa juu hadi uwanjani kwa utulivu pasina mgogoro! Msiangalie wapi mmeangukia bali mlipojikwaa!
 
kandambili wametokea kulipenda sana LIBOLO

Yanga watalipendaje Libolo wakati lilikutana na Simba akanogewa, aligawa pointi kwa Mtibwa kwa madai kuwa mawazo yote yalikuwa kwa Libolo: matokeo kila mtu anayajua!
 
Wanataka kujaribu kama walivofanya kwa TP Mazembe ya DRC mwaka jana au kwa kuwa Kaseja hakucheza mechi hiyo!
 
Ni kweli wamekata rufaa sababu wao hawakutaka kucheza na LIBOLO walitaka kucheza na CHAPUMBU ya Mchumbiji.
 
kandambili wametokea kulipenda sana LIBOLO

Mkuu nyie mmelichezea mpaka mmechoka nalo? Poleni sana!!

Wa kulaumiwa hapa ni TFF, kwa nini hawakupinga mapema timu yao kukutana na timu yenye jina lenye utata kama hili? Unaona sasa limewazidi mpaka mnasingizia kubakwa!!!
 
Jamani wa JF samahani kama nitawakwaza wengi hasa wapenzi wa Timu ya Simba. Nimesikia leo asubuhi kuwa Uongozi wa Timu ya Soka ya Simba wamekata Rufaa dhidi ya hii timu yenye jina linalotamkika KIFARAGHA napenda kujua ni kwanini wamekata rufaa???
wee mzuri,nakutamani!:A S-heart-2:
 
Back
Top Bottom