Recent content by achimwenehk

  1. A

    Kutoka Kariakoo: Watu waliovalia mavazi ya CCM wazomewa na machinga

    Kwakweli ukweli usio pingika ukivaa shati la CCM huwezi kuwa huru kama mtu akivaa vazi la UKAWA,maana ukiwa na vazi la CCM muda wote unahisi kuwa unaweza kushushiwa kipigo hasa maeneo ya Mwanjelwa hapa Mbeya mjini
  2. A

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Wadau sijajua kama CCM wana nia njema na watu wa Mbeya jiji kwa kumpitisha mtu ambaye hadi dakika hii anashindwa kupita Mbeya Vijijini maeneo kama ya Mbalizi . Maana aliwatapeli mwaka 2010 kwenye uchaguzi mkuu kwa kuuza jimbo kwa CCM licha ya kushinda akauza jimbo kwa wale tuliokuwa...
  3. A

    Arfi kuondoka CCM

    Sasa atasubiria baada ya miaka kumi tena yeye Shibuda na dada yao Leticia,hawa watasubiri sana
  4. A

    Dalili ya mvua ni mawingu, CCM Waziri mkuu huyo ameshaona Ikulu ina wenyewe

    Wadau, Mh.Waziri Mkuu ameonesha njia wengine wafuate si vema hadi uje uondoke mchana wenzio wanapo hama wana hama usiku CCM fuateni nyayo za Waziri mkuu aliye soma upepo mapema.
  5. A

    Kikwete kuwa Mwenyekiti wa CCM ambaye sio rais 2016

    Na ivi pinda ana mgomo baridi ameikimbia magogoni mapemaaaaa amejua kitacho jiri ameona aondoke mapema
  6. A

    Kikwete kuwa Mwenyekiti wa CCM ambaye sio rais 2016

    Jamani kwann tupoze muda kujadili mtu ambaye hawezi kuwa Rais wa nchi hii hapa Lowasa ndiye chaguo la watanzania yaani kwa ilipo fikia kwa sasa ccm haina uchochoro wa kupenya watashuhudia hili saa tano asubuhi October,25 ,2015.Ccm watu tumeichokaaaaaaaaaaaa,duuuuu mmetesa watu vyakutosha jamani...
  7. A

    CCM imepaniki?

    Mbona ccm wanajua kabisa kuwa washakuwa chama pinzani tena wanako elekea kitashika nafasi ya nne baada ya UDP na TLP,kumekicha subiri siku mzee ataenda kuchukia fomu pale ofisi za tume dar yote ita simama kwa masaa yasiyo pungua sita hadi saba
  8. A

    Wana CCM tushikamane kipindi hiki KIGUMU, yatapita tu!

    Jamni napatwa na kigugumizi sana juu ya chama hiki kikongwe kinapo tamani kuendelea kufifisha matumaini ya wananchi hata ya kupata mlo mmoja kwa siku jamani tuache utani watanzania wanateseka sana sana sasa chama hiki hadi apa kilipo fikia tunashukuru sana lakini kwa mwaka huu hapana wapishe...
  9. A

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Pia acha presure pia kumbuka nyie uko mkikosa mlicho tarajia hamchelewi kujining'iniza sasa tafadhali uwe makini mkuu maana naona kama vile unajisahau kuwa huu ni mwaka mwingine
  10. A

    St. Agrey Mbeya, Wakufunzi wenzangu tunajidhalilisha

    Mkuu nashukuru kwa kuliona upande wa pili lakini kinacho endelea apa ni kinyume kidogo na hicho unacho kisema ebu jaribu kutafakari au kuulizia kwa watu wote walio soma vyuo vya ualimu kama kuna chuo kinatoa adhabu ya viboko then jitahidi pia kupata hata mwanachuo mmoja kutoka chuo hiki au aliye...
  11. A

    St. Agrey Mbeya, Wakufunzi wenzangu tunajidhalilisha

    Ndugu zangu tunapaswa kutambua kuwa mimi hadi kufikia hatua ya kuandika uzi huu ni jambo lililo nishangaza sana kuona chuo hiki kikienda tofauti kabisa na uendeshaji wa vyuo apa nchini naomba uamini kuwa wanachuo wanachapwa viboko tena bila hata tone la aibu ukweli ndio huo.
  12. A

    St. Agrey Mbeya, Wakufunzi wenzangu tunajidhalilisha

    Ndugu yangu wewe ni mwanaume nalijua hilo pia tambua kuwa kilicho andikwa hapa ni kwamba kwann wanatumia fimbo kuwalazimisha wakubaliane na matakwa yao?tafadhali tuwe na mitazamo ya kujenga pia ni imani yangu kuwa kwa wale wote walio pitia chuo hiki watakuwa ni mashahidi wa iki nikisemacho...
  13. A

    St. Agrey Mbeya, Wakufunzi wenzangu tunajidhalilisha

    Tafdhali tafadhali tuwe serious ndugu zangu pia tuwa onee huruma awa mabint zetu pia tunacho kataa apa ni kitendo cha wakufunzi kutumia dhamana zao kwa private gain ni ukweli usio pingika kuwa wasichana apa wanapata shida naomba pia inapo tokea mtu ana ujuza Umma juu ya uozo kama huu si vema...
  14. A

    Mtazamo wa Bi. Ananilea Nkya Juu ya Lowassa Kuingia CHADEMA na Kugombea Urais

    Ndugu zangu tuwe wakweli penye njano acha tuseme njano binafsi kwa upande wa Mh,Edward Lowasa nilimchukulia kama mhujumu mali za Umma kwa skendo la Richimond hasa pale alipo kaa kimya kwa muda mrefu sana lakini kwa tukio la juzi kuamua kuondokana na zigo alilo libeba kwa muda mrefu kwa maslahi...
  15. A

    St. Agrey Mbeya, Wakufunzi wenzangu tunajidhalilisha

    Kada ya ualimu mkuu,pia ndugu zangu wapenda maendeleo tushirikiane kukemea mambo ay hayaleti tija kwa Taifa letu sisi ndiyo tutaijenga nchi hii tusisubiri serikali panapo wezekana tuchukue jukumu la kuonyana bila kuoneana haya.
Back
Top Bottom