St. Agrey Mbeya, Wakufunzi wenzangu tunajidhalilisha

St. Agrey Mbeya, Wakufunzi wenzangu tunajidhalilisha

Mkuu nashukuru kwa kuliona upande wa pili lakini kinacho endelea apa ni kinyume kidogo na hicho unacho kisema ebu jaribu kutafakari au kuulizia kwa watu wote walio soma vyuo vya ualimu kama kuna chuo kinatoa adhabu ya viboko then jitahidi pia kupata hata mwanachuo mmoja kutoka chuo hiki au aliye wahi kisoma maana kwa sasa wanacho kifanya ikiwa mtoto wa kike ana kataa basi wanafanya uchunguzi waone endapo kuna mwanachuo wa kiume labda anatoka na huyo binti na endapo itabainika basi kijana atakuwa kwenye HOT SOUP,aya niyasemayo yapo apo lengo langu awa watu waachane na tabia hizi zinachafua taaluma ya Ualimu na pia wana wapotezea watoto mwelekeo
 
Wewe huna hoja zaidi ya kupayuka tu alafu unajiita msomi.Wewe kama unauhakika na unachokisema humu nenda ofisi za elimu wilaya au mkoa au hata takukuru maana hiyo ni rushwa ingesaidia sana kuliko kuja kupayuka tu huku.
Hata hapa inasaidia mkuu, ofisi nyingi tu zimesemwa kupitia hapa na hali ya hewa ikabadilika.
 
Back
Top Bottom