Recent content by Accidental Genius

  1. Accidental Genius

    Urithi pekee wa thamani tunaoweza kuviachia vizazi vyetu

    Nina nia ya kuanzisha kikundi cha mazingira siku za usoni kuhakikisha kwamba kila mkazi anakuwa na mazingira yaliyojitosheleza kwa mimea ya matunda,mapambo na mazao ya mbao
  2. Accidental Genius

    Urithi pekee wa thamani tunaoweza kuviachia vizazi vyetu

    Habari za weekend waungwana! Kuna nyakati tumekuwa na hisia za kujiuliza hivi nikifa leo wanangu wataishi vipi? Ama ni kitu gani niwekeze kwa faida ya wanangu baadaye? Magari? Nyumba? Maduka? Akiba benki? Haya yanaweza kuwa ni baadhi ya majibu ambayo huja kwa haraka sana akilini...
  3. Accidental Genius

    Kwa wapenzi wa matunda na wajasiriamali.

    Itabidi uitafute ili miaka miwili mbele uanze kufaidi
  4. Accidental Genius

    Kwa wapenzi wa matunda na wajasiriamali.

    Kuanzia miche 10+15000 usafiri.
  5. Accidental Genius

    Kwa wapenzi wa matunda na wajasiriamali.

    @ryzeragroproducts ni wazalishaji wa miche aina zote za matunda,maua pamoja na miti ya mbao na urembo... Miche ya matunda iliopo ni ya muda mfupi kabisa.. Nazi -miaka mitatu@7500/= Zaituni- miaka miwili@5500/= Ndizi-miezi 7@4000/= Fenesi,korosho-miaka miwili@4000/=...
  6. Accidental Genius

    Kufunguliwa kutoka vifungoni

    Bwana asifiwe wapendwa. Tunamshkuru Mungu Ni siku nyingine tuko mbele zake, Ni kwa neema yake tu tunaiona siku ya Leo. Neno la Mungu leo linatupa tumaini kuwa tukiwa tumempokea Yesu Kristo na kumuamini anatulinda na kutuzungushia ulinzi wake kama mboni ya jicho lake. Hatuna haja ya kuhofia...
  7. Accidental Genius

    Sikia hii sister....

    Uko na age 18-20 unasema unataka kusettle down na jamaa ambae atakua future hubby... calm down sister lazima ukutane na wahuni, get screwed like shit... go through some serious heartbreaks.... get dumped hata Mara8 hivi... Then ukue motivational speaker at age of 30 ndo uolewe,hakuna kuruka...
  8. Accidental Genius

    Upandikizaji wa moyo wa Nguruwe kwa binadamu

    Kinqchomuua mgonjwa sio moyo kuacha kupiga... Bali ni sababu ya moyo kuacha kupiga.
  9. Accidental Genius

    Upandikizaji wa moyo wa Nguruwe kwa binadamu

    Hamna,hakutakuwa na tofauti yoyote katika vifo,watu watakufa kama kawaida. Moyo unawekwa kwa wagonjwa wa moyo tu,kumbuka kuna watu wana mioyo mibovu,hali inayohatarisha maisha yao,kumbuka tundu kwenye moyo,wenye mioyo iliyovimba na kasoro nyinginezo. Unaweza kufa kwa magonjwa mengineyo kama kawa.
  10. Accidental Genius

    Natafuta nafasi ya kazi, nina degree ya Business Administration

    Mipango ya kusadikika unaiona siiiiimple.....saidia ajira au mpe hata Capital usijitie unajua kuongea sisi vijana ndio tunaojua hali halisi ilivyo kitaa... Mkiwa hamna ushauri mna-mute tu aisee,sio kwamba unachoshauri yeye hakioni,anakiona na uelewe kwamba kwa uwezo wake hajafanikiwa.
Back
Top Bottom