juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,449
- Thread starter
- #101
Moja humponyokaMshika mawili..................
Moja humponyokaMshika mawili..................
Matokeo ya kidato cha nne hadi yatoke tutashuhudia mengi sanana naapa tangu nijuane na yeye sijawahi kumsaliti hata siku moja ila anarafiki yake ambaye tunaheshimiana sana ila kwa bahati mbaya sana huyo rafiki yake nimemchapa.
Kama vp alete mmoja nimsaidiePambana na madem zako
Kwanza jiaminishe kwamba wakati wewe unagonga na yeye alikuwa anagongwa ujihisi poaZa siku nyingi wanabody?
Bila kupoteza muda iko hivi, nina msichana wangu ambaye namzimia kinoma noma, tuna mipango mingi ya mbele mizuri na naapa tangu nijuane na yeye sijawahi kumsaliti hata siku moja ila anarafiki yake ambaye tunaheshimiana sana ila kwa bahati mbaya sana huyo rafiki yake nimemchapa.
Usitake kuniuliza ilikuwakuwaje hadi nikala mzigo, ila we elewa tu kwamba nimekula mzigo kwa shemeji yangu, kiukweli roho inaniuma sana tena sana hasa nikifikiria walivyoshibana.
Naumia zaidi nikiwa naongea au kuonana na mpenzi wangu kila nikiwaza nilichomtendea nafsi inanisuta sana, yaani hii hali inanitesa sana kisaikoloji, hii ni true story jamani.
Naomba ushauri wenu, je nifanyeje ili niwe na amani ya moyo?
Jamaa kauzu sana?,kala mtu na mdogo wake,huyu kavuka kwenye ukauzu bali ni BAZAZIIlinitokea situation kama hiyo wakati nipo form two ...nilikuwa katika mahusiano baadae tukaachana lakini baadae nikaja kugundua Tena huyo mwanaume akawa anatoka na Dada yangu ....nilikuwa inanipa wakati mgumu nilipokuwa najilazimisha kumwita shemeji x boyfriend
OK hii ilitokea kama ajari kwangu sababu mm sikuwa najua kama ana mahusiano na sister wangu na wala sister wangu hakujua na hakuna anaejua na yule x hakuwa unajua kama ni sister wangu.kila wewe mkuu unaonesha hakuna moyo kabisa yahn.
Umemkosea mpnz wako na hiyo dhambi itakutesa zaidi ya ujuavyo unaweza kujikita unatamabi hata urafiki wako ufe kwa ajiri ya ujinga wako.Na rafiki anayetoka na mpnz wa rafiki yake si rafiki Bali ni shetani hafai kuwa rafiki.
Mwambie ukweli tu atakusamehe tu.
Unakuja hapa kuomba ushauri,unashauriwa halafu unakataa,ulileta uzi ushauriwe au KUTUJUZA KUA UMEKULA MTU NA RAFIKI YAKE?,just thinking loudKumwambia ukweli ni ngumu mkuu