Urithi pekee wa thamani tunaoweza kuviachia vizazi vyetu

Accidental Genius

Senior Member
Aug 17, 2019
154
188
Habari za weekend waungwana!

Kuna nyakati tumekuwa na hisia za kujiuliza hivi nikifa leo wanangu wataishi vipi?

Ama ni kitu gani niwekeze kwa faida ya wanangu baadaye?

Magari?

Nyumba?

Maduka?

Akiba benki?

Haya yanaweza kuwa ni baadhi ya majibu ambayo huja kwa haraka sana akilini mwetu,lakini uhalisia ni kwamba ARDHI ndiyo urithi wa THAMANI tunaoweza kuwaachia vizazi vyetu vijavyo.

Ardhi hupanda thamani kila kukicha na ile iliyoendelezwa ndiyo huwa na thamani maradufu.

Tunaweza kuendeleza kwa kuweka vitegauchumi katika arthi husika,vyaweza kuwa majengo ama mazao ya kilimo.

Leo nitajikita katika MAZAO YA KILIMO,nazungumzia MATUNDA mbali mbali tunayoweza kupanda na yakatunufaisha sisi na vizazi vyetu kwa kuongeza thamani ya ardhi yetu.


Tuoteshe matunda kwa wingi msimu huu wa mvua kwa faida yetu wenyeww na vizazi vyetu.

Vilevile kwa wenye ndoto za kuwa wakulima siku zijazo wanashauriwa kupanda matunda katika shamba la mfano ili kujipatia uzoefu wa kilimo cha MATUNDA na masoko.

Nawaletea MICHE YA KISASA ya matunda ya kila aina,.

@NI MICHE ISIYOCHAGUA ARDHI NA HALI YA HEWA.


@NI MICHE INAYOZAA NDANI YA MIAKA MIWILI TU INAZAA MATUNDA MAKUBWA NA MENGI.


Miche INAYOSTAHIMILI MAGONJWA YA AINA MBALIMBALI.


@KUTOKANA NA KUCHUKUA NAFASI NDOGO INAWEZA KUPANDWA NA KUPENDEZESHA ENEO LA MAKAZI HUKU IKITOA MATUNDA.


MCHE MMOJA NI TSHS 4000 TU HUKU MNAZI UKIWA 8000 NA MZEITUNI 6000.


Tunakuletea kuanzia miche 5.


NDANI YA MOROGORO UNALETEWA KWA GHARAMA ZA USAFIRI TSHS 8000 HUKU NJE YA MKOA WA MOROGORO UKILETEWA KWA TSHS 15000 kama GHARAMA ZA USAFIRI.


MALIPO NI BAADA YA KUPOKEA MZIGO UKIWA SALAMA SALIMINI.

SMS TO 0677421378(SMS TU) ULETEWE POPOTE TZ.
tapatalk_1571339563642.jpeg
1571205869155.jpeg
1384930312.jpeg
1096624908.jpeg
1509504205.jpeg
939798648.jpeg
547825537.jpeg
1349072819.jpeg
1282708698.jpeg
1623215846.jpeg
FB_IMG_15707726290341576.jpeg
586128165.jpeg
tapatalk_1571559062439.jpeg
446159225.jpeg
1461233507.jpeg
 
Hongera sana mkuu.

Hizi ndizo habari, ila bahat mbaya hutapata wachangiaji wengi achilia mbali wateja.

Watanzania wengi tumewekeza kwenye umbea na porojo zisizokuwa na maana wala tija.
Miujiza ya kinabii na uganga, ngono ndio zetu...kazi NO!
 
Mimi ni mwanamazingira hasawaa. Kila mara roho inaniuma ninapoona uharibifu mkubwa wa mazingira unaoendelea kote nchin. Magufulia kafumba macho.Si mwanamzingira ki asilia. Elimu yetu ni mbovu wala haimfanyi raia na msomi wa nchi hii kupenda mazingira yake. Ndio maana ni nadra kukuta eneo wanapoishi waswahili likiwa limetunzwa kwa mimea tofauti na wenzetu wazungu
 
Nina nia ya kuanzisha kikundi cha mazingira siku za usoni kuhakikisha kwamba kila mkazi anakuwa na mazingira yaliyojitosheleza kwa mimea ya matunda,mapambo na mazao ya mbao
Mimi ni mwanamazingira hasawaa. Kila mara roho inaniuma ninapoona uharibifu mkubwa wa mazingira unaoendelea kote nchin. Magufulia kafumba macho.Si mwanamzingira ki asilia. Elimu yetu ni mbovu wala haimfanyi raia na msomi wa nchi hii kupenda mazingira yake. Ndio maana ni nadra kukuta eneo wanapoishi waswahili likiwa limetunzwa kwa mimea tofauti na wenzetu wazungu
 
Back
Top Bottom