Recent content by academy

  1. academy

    Magufuli atembelea shule aliyosoma (Katoke Seminary),atoa milioni moja kukarabati dirisha alilovunja

    Kwanini alipo kua waziri kwa miaka zaidi ya kumi hakukumbuka anatafuta kick kwa dirisha Sent using Jamii Forums mobile app
  2. academy

    Passo namb d nzuri Full vibal full ac Haijarudiwa rangi Bei 5.3 Call 0718017711

    Mbona bei kubwa Mkuu Post sent using JamiiForums mobile app
  3. academy

    Unyama na ukatili tunaofanyiwa na madalali

    Mpe hyo hela 120000 alafu akupe risiti Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
  4. academy

    Katavi: Aburuzwa mahakamani kwa kumgonga twiga wa thamani ya mil 33

    Kipi bora kuua mnyama au binadamu Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
  5. academy

    Taasisi kubwa kama ya Urais haina budi kuheshimiwa, I have no sympathy for Halima Mdee

    Kwani kinacho kuuma ni nini Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
  6. academy

    Rais Magufuli: Polisi fanyeni kazi yenu, hawa wanaoropoka wakamateni ili kusudi waisaidie polisi

    Magu hajui kama madaraka yana mwisho wake anajiona yy ni mbabe
  7. academy

    Tecno kama mmechoka kutengeneza simu imara mkalime matikiti

    Labda mnanunua tecno za bei ya chini hapa natumia six plus haina shida hata kidogo na ipo fasta
  8. academy

    Tecno kama mmechoka kutengeneza simu imara mkalime matikiti

    Mi natumia tecno ni mwaka wa 3 sasa haisumbui hata kidogo mi hua nabadilisha matoleo tu
  9. academy

    Nyumba ya kupanga Morogoro

    Kwa maeneo gani ya mji
  10. academy

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo aagiza Waziri Mkuu mstaafu Sumaye akamatwe na polisi popote alipo

    Kwani hyo miradi niyanani si wananchi kwani sumaye sio mwanchi kuangalia miradi ya maendeleo inayo fanywa na selikari ni kosa
  11. academy

    Baada ya kufunga solar power kijijini kwangu vitimbwi vimeanza

    Mi sijakuelewa ulikua unzungumzia nini
  12. academy

    Tuweke nadhiri endapo Acacia watalipa Trillioni 108

    Wewe naantombe mushi unapenda ulipwe au hupendi
  13. academy

    Tusioiunga mkono CCM kila siku tunaonekana tuko sahihi na tunaona mbali

    Ccm hawana zamira ya dhati kwa nchi hii
  14. academy

    TWAWEZA: Idadi ya wanaomkubali rais Magufuli yashuka kutoka asilimia 96 hadi 71 mwaka huu

    Hivi humu ndani nani alishawahi kuhojiwa na hao twaweza
Back
Top Bottom