Baada ya kufunga solar power kijijini kwangu vitimbwi vimeanza

Amani kwenu wadau

Miaka ya nyuma kidogo baada ya kutokea lile sakata lilopelekea kujiudhulu kwa waziri mkuu,na hiyo ni baada ya kusomwa ile ripoti tata ya tume iliongozwa na mwakyembe,

Baada ya pale kulitokea mambo mengi

wadau amani kwenu

jana niliamka mapema asubuhi nikaamua kufanya usafi kuzuunguka nyumba yangu kabla ya kufungua biashara yangu duka

Baada ya kufanya usafi mama watoto akaniambia chai na mihogo tayari,nikamjibu anipelekee maji ya kuoga kwanza ili nikimaliza chai nifungue biashara moja kwa moja,bas mama watoto akatekeleza yale maagizo

Nikaingia chooni nikatupa taulo yangu juu ya mlango si mnajua vyoo vyetu vya mikoani nikaamua nikate gogo kidogo,wakati nimechuchumaa ghafla nikasikia nywiiiiiii yaani kwenye pumbu ,kama mtu aliechomwa sindano kwenye pumbu maumivu yake

Nikaruka kimo cha ng'ombe mtoto nikanguuka kwa kishindo,mara wife na watoto na shemeji zangu wakanikuta nimekaa chini nimenyoosha miguu na pumbu zimelala sakafuni,mke akauliza mbona nimepiga yowe na kishindo nikamjibu nimeumwa na dondola alietokea ndani ya shimo la choo akalishambulia pumbu

Kuoga ikashindikana kufika ndani maumivu yake si ya kupima wife akasema hii si bure kuna mkono wa mtu lazima twende kwa mtaalamu kijiji cha pili,basi tukakubaliana tukaelekea kwa mzee mwanafulangenge fykeo,kufika pale akaangalia tv yake ya asili,akasema ni husda kwa kuwa pale kijijini nakuja kwa kasi hivyo nichanjwe chale saba kwenye pumbu kuondoa husda

Baada ya hapo maumivu yamepungua ila pumbu limevimba kama boga

Yote hii husda inakuja kwa vile kilimo kimenikubali na trip za dar kila mwezi kuuza mazao,nina duka nachaji simu na bodaboda,masister duu wa kijiji nao wanashoboka basi ni hofu hofu kijijini kiukweli nakimbiza na nimekamata na nimefunga dishi kwa ajili vijana waburudike

Bado najiuliza sijui ingekuwaje kama yule dondola angemuuma wife sehemu za siri,

Ni hivyo vidogo tu tayari vitimbwi vimeanza je nikiingiza vitz sports rim si ndio watanifukia asubuhi yule dondola si wa kawaida nduguzanguni
 
wadau amani kwenu

jana niliamka mapema asubuhi nikaamua kufanya usafi kuzuunguka nyumba yangu kabla ya kufungua biashara yangu duka

Baada ya kufanya usafi mama watoto akaniambia chai na mihogo tayari,nikamjibu anipelekee maji ya kuoga kwanza ili nikimaliza chai nifungue biashara moja kwa moja,bas mama watoto akatekeleza yale maagizo

Nikaingia chooni nikatupa taulo yangu juu ya mlango si mnajua vyoo vyetu vya mikoani nikaamua nikate gogo kidogo,wakati nimechuchumaa ghafla nikasikia nywiiiiiii yaani kwenye pumbu ,kama mtu aliechomwa sindano kwenye pumbu maumivu yake

Nikaruka kimo cha ng'ombe mtoto nikanguuka kwa kishindo,mara wife na watoto na shemeji zangu wakanikuta
Umelitendea haki Jina Lako.... KUBWA JINGA.
 
Ulichomwa kwenye pumbu ndio uluke hivyo? Au Shimo! Pia Msemo wa sasa sema kimo cha Ndama Mtoto wa Ng'ombe
 
wadau amani kwenu

jana niliamka mapema asubuhi nikaamua kufanya usafi kuzuunguka nyumba yangu kabla ya kufungua biashara yangu duka

Baada ya kufanya usafi mama watoto akaniambia chai na mihogo tayari,nikamjibu anipelekee maji ya kuoga kwanza ili nikimaliza chai nifungue biashara moja kwa moja,bas mama watoto akatekeleza yale maagizo

Nikaingia chooni nikatupa taulo yangu juu ya mlango si mnajua vyoo vyetu vya mikoani nikaamua nikate gogo kidogo,wakati nimechuchumaa ghafla nikasikia nywiiiiiii yaani kwenye pumbu ,kama mtu aliechomwa sindano kwenye pumbu maumivu yake

Nikaruka kimo cha ng'ombe mtoto nikanguuka kwa kishindo,mara wife na watoto na shemeji zangu wakanikuta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom