Tuweke nadhiri endapo Acacia watalipa Trillioni 108

Mfano Ikitokea wanatugawia hiyo hela kila mtu anatoka na sh ngapi??
Ushaambiwa kila Mtanzania atapata Noah moja kwa hiyo sasa piga hesabu Noah moja ni tshs ngapi ndio mgao wako huo. Lakini Mimi nasikitika kwanini wanatuchagulia cha kununua badala ya kutupa hela zetu kila afe kivyake.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Mimi hizo hela zikilipwa then wakatupatia hizo Noah kama walivyotuchagulia na kutuahidi mimi Noah yangu nienda kumuonga Jesikaa.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Wanasema eti mkulu hakuelewa lugha.
Ndio maana taarifa zao zimetofautiana
 
Mimi Naantombe Mushi nikiwa na akili timami kabisa leo tar.16.06.2017 bila shinikizo la aina yoyote, natoa nadhiri kwamba endapo Acacia watalipa hizo Trillioni 108 ntafanya yafuatayo.

. Ntaandamana kwa miguu kuzunguka nchi nzima.
. Ntafunga kula siku 30
. Ntafunga kugegeda kwa mwaka mzima.
. Na endapo nikiona inafaa, ntajisaidia hapa pia.

Naomba kuwasilisha
Wewe naantombe mushi unapenda ulipwe au hupendi
 
Jina lako la kwanza lina maana gani
 
Hahaha dah aisee mambo mengine inabidi ucheke tu japo sijisikii kucheka
 
Wewe naantombe mushi unapenda ulipwe au hupendi
Kama nimemwelewa vizuri kaka naantombe anaona hakuna uwezekano huo wa kulipa kitu kikubwa namna hiyo. Ndio maana katoa nadhiri nzito sana. Ukweli hata mimi sidhani hata nusu ya hiyo bei kama tutalipwa.
 
Back
Top Bottom