Recent content by Abuzulfa

  1. Abuzulfa

    Mikutano ya Lowassa Ngorongoro, Kilindi, Handeni na Tanga Mjini - Oktoba 21, 2015

    Aiseeh iyo ratiba,uku kwetu atafika kweli..Tunduru Namtumbo Nyasa na Mbinga..
  2. Abuzulfa

    Lowassa, maji ya shingo

    Duni yuko Dodoma acheni kujitekenya jana kafanya mikutano kondoa kule...ccm bye byeee
  3. Abuzulfa

    Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Tafiti hiii mmmmh naiona kama ya kubusti mawazo ya wasio na elimu.weweee tumekosa elimu ila trip hii tumestuka na tumeamua kumchagua lowasa..aiwezekana lowasa ashuke umaarufu kiasi icho ghafla namna iyo.na kumpandisha magufuli kwa speed iyo weeeee..lowasa mara zote mmempambanisha na wanasiasa...
  4. Abuzulfa

    Tiffah's 40: Sherehe ya mtoto wa Diamond Platnumz kutimiza siku 40 tangu azaliwe

    Mtoto wa zinaa ni mtoto wa mama.so msela wangu Nasibu abdul bado ana mtoto...izo mbwembwe zote ila ajue hana mtoto.aiseeeh ni hasara kwelikweli...
  5. Abuzulfa

    Vurugu ndani ya UKAWA zasambaa mikoa 4 - Mtwara, Tabora, Kilimanjaro na Morogoro...

    ccm bye bye....ata fitna ziwe vipi.watz tumeua ccm kuwapumxisha kidogo....
  6. Abuzulfa

    Kampeni za UKAWA/LOWASSA zimekwamia wapi??

    Mh.Edo alikuwa zenji uzinduzi wa urais zanzibar.kachukuwa chopa c mida mingi na babu duni kurejea dsm...
  7. Abuzulfa

    CCM imekuwa mzigo kwa Viongozi wake

    Ni ushauri mzuri kama watakuelewa bac wataufanyia kazi...
  8. Abuzulfa

    Wakisema waendesha bodaboda sawa, ila hata kwa Wasomi? Tumepoteza matumaini

    Ukiskia dharau ndio hiyo.yaani ukiwa na maisha ya chini unaonekana una elimu.ujitambui au..!!bac poa cc malofa wakina baba kayumba.tunataka kufanya mabadiliko ya kiutawala ktk taifa ili..Rais wetu mazoba ni Lowasaaaaaaaa....
  9. Abuzulfa

    Juhudi za Gwajima katika siasa, kipi anatafuta?

    Gwajima mbona kaeleweka wenye akili tumemuelewa..nani alikuambia kuwa ukiwa kiongozi wa kiroho ufai kuwa mwanasiasa..mchungaji kiongozi mama lwakatare.ni mbunge viti maalum ccm...unamshangaa ngwajima mshangae jk aliemteua uyu mama kuwa mbunge wake...Dr.Slaaa anamizigo kapewa na ccm na gwajima...
  10. Abuzulfa

    Dr. Mwakyembe hali tete jimboni Kyela

    Why wanatoa mabango..ama kweli ccm wameshikwa pabaya
  11. Abuzulfa

    Nimueleweje huyu mwanamke?

    Achana nae kwani zinaaa aifai..kama unampenda kweli nenda kwao kakamilishe taratibu za ndoa.ukishaoa usumbufu wote utakuwa umekwisha.coz utakuwa mzigo wako jumla....
  12. Abuzulfa

    CCM Wazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Udini wa Lowassa na CHADEMA

    Alipo tupo.mimi muislam safi kabisa..ila kura yangu ni kwa Lowasa...namuombea Dua kila saa Allah amuongoze.tulipumzishe ili jinamizi Ccm.....
  13. Abuzulfa

    CCM yaonja moto wa mabadiliko uwanja wa Taifa jioni hii

    Lege.na mimi nirushie iyo clips ya taifa jana +258875838316
Back
Top Bottom