Kampeni za UKAWA/LOWASSA zimekwamia wapi??

Wewe nani mpaka utuambie?
Angalia mtu wako acha sisi tujiamrie mambo yetu kwa raha zetu.
Mnataka kutuingilia hata katika kampeni zetu sisi malofa

Kama mmelishwa limbwata vile: see no evil, hear no evil!
 
MAMBO 20 YANAYONIFANYA NISITHUBUTU HASILANI KUMPA KURA YANGU LOWASSA

1.Lowasa anaurafiki mkubwa na wafanyabiashara wakubwa ambo ni hatari sana kwa maendeleo
Ya watu wa chini

2.UFISADI ni mwiko kutamka mbele ya ukawa. Kumbe nazani ni kipaumbele chao.manake wataruhusu ufisadi

3.UKAWA, iko kushughulikia Katiba hivyo wako pale hawana target na dira imara (wamekurupuka)

4.lowasa kajeruiwa CCM so anachofanya ni kuikomoa CCM (ANALAZIMISHA MAJANI KUA NOTI) yuko tayari damu za watanzania zimwagike mradi Kuing'oa CCM.

5.lowasa angeingia IKULU Mawaziri wake ingekua vituko na pango zuri la walanguzi

6.ukawa naiogopa kama ukoma nkikumbuka marejui wake watatu toka CCM

7.Hana uwezo wa kusema mambo muhimu toka MOYONI kwa zaid ya dk 10 bila kudesa (KUCHUNGULIA KTK KARATASI)

8.Lowasa ni FISADI, MDINI, MNAFIKI, na anakosa sifa hata ya kuwa diwani

9.lowasa hatokua na maamuzi kama RAIS isipokua kile kitokacho mdomoni mwa MBOWE na akiwazacho MBATIA (ATAENDESHWA)

10.Lowasa anatoa ahadi za kitoto kama kufungulia wafungwa na magaidi jela, wamasai kule porini wajenge nyumba za mabati.duh...

11.MAGUFULI Hana doa, abanwi na Mfumo kama wachache wanavozani nani chapa kazi la uhakika. so kura yangu sina kinyongo kwa CCM

12.analolisema anahakikisha linatimia mapema maanake nchi itabadilika na watu watafuraia matunda ya mabadiliko

13.akishinda MAGUFULI (tingatinga) nae SAMIA SULUHU ndani. Hivyo wanawake wamepata mtetez wao ngazi ya juu zaidi. Na 50 kwa 50 atimae ioooooo....

14.Siku zote ninavyopiga kura Sipendi kuona ninaemchagua hashindi maana Najua MAGUFULI IKULU NI LAZIMA. Na ukawa mwisho Oct 24, 2015

15.Lazima tena lazima sauti ya mbowe itasikika tena katika vituo vya habari,tv, radio,magazeti na mitandaoni ikisema, ."KESHO tarehe...wana-UKAWA WOOOOTE NCHI NZIMA, TUNAFANYA MAANDAMANO YA AMANI KUDAI LOWASA KAONEWA. Kitakachofuata ni Mimi au wewe au ndugu kupoteza maisha.

16 .viongozi wengi wa ukawa ni masharobaro, Kisaikologia ogopo sana mtu ambaye hapendi nywele kichwani, kidevuni( mbatia).

17.Ukawa wanatoa majibu mepesi na membamba kujibu tuhuma za mwanamapambano mahiri Dr. W.P. SLAA. Na prof Lipumba

18.kipaumbele cha ukawa hasa DILI

19.mfanano wa wanaounga mkono kwa kiasi kikubw ni MAJERUI wa uchumi, maisha magumu, na kukatwa.

20.Wameshindwa (ukawa)kufasili vema maneno UPUMBAVU, ULOFA na kirahisi tu kutumia kama msitu, tiketi na fimbo kuelekea ikulu

16 ,19, 20 pumba aswaaa acha tuuu kujiendekeza
 
Kumbe mnajua mmemjeruhi ndiyo maana mkaamua kuwanunua watu ili kufanikisha malengo yenu.
Unaita watuhumiwa magaidi wakati huna ushahidi hata kidogo wewe ni wa ajabu kama ccm yako. Yaani mnatoa hukumu bila kuwasikiliza watuhumiwa huu ni udikteta.
huhitaji marafiki wa matajiri au matajiri sasa nchi itapiga hatua vipi na watu masikini?
hao unaozani ni masikini ni matajiri wa kupindukia kama Kikwete na Magufuli wanamiliki mahotel kwa mgongo wa watu hao hawafai kama ukoma.
 
Alikuwa mapumziko kesho ndyo anaendelea na ratiba atakuwa morogoro
 
Kama mmelishwa limbwata vile: see no evil, hear no evil!

Limbwata umelishwa wewe tangu uhuru hauna chochote wenzio wanajitajirisha tu na mali zetu kwa mfano Mkapa tulimchagua masiki akiwa na magari matatu tena ya kilofa sasa hivi anamiliki utajili wa kupindukia anatuona sisi malofa na wapumbavu kwa vile tulimchagua.
 
Mh.Edo alikuwa zenji uzinduzi wa urais zanzibar.kachukuwa chopa c mida mingi na babu duni kurejea dsm...
 
Lowassa anawatia watu matumbo joto. Bila Lowassa kampeni za vyama vyote hazionekani.
 
MAMBO 20 YANAYONIFANYA NISITHUBUTU HASILANI KUMPA KURA YANGU LOWASSA

1.Lowasa anaurafiki mkubwa na wafanyabiashara wakubwa ambo ni hatari sana kwa maendeleo
Ya watu wa chini

2.UFISADI ni mwiko kutamka mbele ya ukawa. Kumbe nazani ni kipaumbele chao.manake wataruhusu ufisadi

3.UKAWA, iko kushughulikia Katiba hivyo wako pale hawana target na dira imara (wamekurupuka)

4.lowasa kajeruiwa CCM so anachofanya ni kuikomoa CCM (ANALAZIMISHA MAJANI KUA NOTI) yuko tayari damu za watanzania zimwagike mradi Kuing'oa CCM.

5.lowasa angeingia IKULU Mawaziri wake ingekua vituko na pango zuri la walanguzi

6.ukawa naiogopa kama ukoma nkikumbuka marejui wake watatu toka CCM

7.Hana uwezo wa kusema mambo muhimu toka MOYONI kwa zaid ya dk 10 bila kudesa (KUCHUNGULIA KTK KARATASI)

8.Lowasa ni FISADI, MDINI, MNAFIKI, na anakosa sifa hata ya kuwa diwani

9.lowasa hatokua na maamuzi kama RAIS isipokua kile kitokacho mdomoni mwa MBOWE na akiwazacho MBATIA (ATAENDESHWA)

10.Lowasa anatoa ahadi za kitoto kama kufungulia wafungwa na magaidi jela, wamasai kule porini wajenge nyumba za mabati.duh...

11.MAGUFULI Hana doa, abanwi na Mfumo kama wachache wanavozani nani chapa kazi la uhakika. so kura yangu sina kinyongo kwa CCM

12.analolisema anahakikisha linatimia mapema maanake nchi itabadilika na watu watafuraia matunda ya mabadiliko

13.akishinda MAGUFULI (tingatinga) nae SAMIA SULUHU ndani. Hivyo wanawake wamepata mtetez wao ngazi ya juu zaidi. Na 50 kwa 50 atimae ioooooo....

14.Siku zote ninavyopiga kura Sipendi kuona ninaemchagua hashindi maana Najua MAGUFULI IKULU NI LAZIMA. Na ukawa mwisho Oct 24, 2015

15.Lazima tena lazima sauti ya mbowe itasikika tena katika vituo vya habari,tv, radio,magazeti na mitandaoni ikisema, ."KESHO tarehe...wana-UKAWA WOOOOTE NCHI NZIMA, TUNAFANYA MAANDAMANO YA AMANI KUDAI LOWASA KAONEWA. Kitakachofuata ni Mimi au wewe au ndugu kupoteza maisha.

16 .viongozi wengi wa ukawa ni masharobaro, Kisaikologia ogopo sana mtu ambaye hapendi nywele kichwani, kidevuni( mbatia).

17.Ukawa wanatoa majibu mepesi na membamba kujibu tuhuma za mwanamapambano mahiri Dr. W.P. SLAA. Na prof Lipumba

18.kipaumbele cha ukawa hasa DILI

19.mfanano wa wanaounga mkono kwa kiasi kikubw ni MAJERUI wa uchumi, maisha magumu, na kukatwa.

20.Wameshindwa (ukawa)kufasili vema maneno UPUMBAVU, ULOFA na kirahisi tu kutumia kama msitu, tiketi na fimbo kuelekea ikulu

"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Kagoda
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo porojo tuuu za kipumbavu
 
Mgombea kwa sasa anapata mapumziko kutokana na hali yake kiafya.

Hii picha anakueleza kwa nini hajatokea kwenye kampeni

[im
imagejpeg

yuko zenj kwenye uzinduz wa cuf
 
Back
Top Bottom