Recent content by abuusamira

  1. A

    JamiiForums Tanzania Binti wa Miaka 22 Rebecca Amos ajishindia milioni 60 kupitia bahati nasibu ya Tatu Mzuka

    kama kuna kitu hatari katika uchumi wa nchi basi hii michezo ya bahati nasibu ni namba moja. katika michezo hii hakuna faida yeyote inayorudi katika jamii,bali tu pesa zilizopo mikononi hukusanywa na mjanja toka kwa watu wengi,kisha kuwapa wachache kichache na yule mjanja kubakia na kingi.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuendesha website na gharama zake

    Nikupongeze sana mleta mada kwa kupata wazo hilo. lakini ninaomba nikuambie kuwa hicho ulichofanya mpaka sasa ni kuwa tu na wazo la biashara,unahitaji kupata muda wa kutosha kwa ajili ya kuiplan vizuri hiyo idea yako nzuri. Angalia vitu 1. huduma ambayo utaitoa sasa na baadae. 2.gharama...
  3. A

    JamiiForums Tanzania IKULU: Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, Dk. Magufuli aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM

    ni sahihi kisheria za tanzania kikao hiko kufanyikia ikulu kwa sababu nyingi tu,baadhi ni zifuatazo 1.hakuna sheria inayokataza vikao vya vyama ikulu 2.asilimia kubwa ya wajumbe ni wenyeji hapo ikulu 3.muongozaji kikao anapatikana hapo NB: lakini ukitafutwa usahihi wa kibusara,utawala bora na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Proposal ya kilimo cha matikiti

    sasa si ndio umpe anachotaka???
  5. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfamasia wangazi ya Cheti au diploma

    asiyemakini!!!!!!!!!
  6. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Vifaranga wanaishiwa nguvu miguuni

    wana dalili gani hao kuku?kama utaweza tuma picha ili tukushauri vizuri na kwa usahihi
  7. A

    JamiiForums Tanzania SOLD: Fridge kubwa inauzwa

    usifanye biashara kwa hasara
  8. A

    JamiiForums Tanzania Crossing kuroiler na kienyeji chicken

    utapata kuku mwenye sifa za wazazi wote.hili swali lako linajibika kivitendo zaidi,songa mbele,cross hao kuku then tuone unapata nini,hapo ndipo jibu la uhakika litapatikana
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nifanye biashara au niajiriwe kwa muda?

    umesoma programme gani?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    anajiandaa kulalia huyo,toa mayai muachie matatu mpaka atakapochanganya kulalia,pia muandalie sehemu nyingine nzuri ya kulala,kuku hata asiyetaga anapenda kulala kwenye kiota kizuri
  11. A

    JamiiForums Tanzania Pikipiki Boxer BM150 inauzwa

    bora kununua dukani hivi vitu hivi
  12. A

    JamiiForums Tanzania Pikipiki Boxer BM150 inauzwa

    wewe!! konda wakati ndio bosi mwenyewe huyo
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Ahsante sana mkuu
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Habari zenu wakuu. Poleni sana kwa huzuni mliyonayo kuhusu makinikia. Ama baada ya hayo nije kwenye mada. Nina nia na dhamira ya kutekeleza mradi wa ufugaji wa mbuzi wa kisasa wa maziwa, hivyo basi ninaomba msaada wenu wa taarifa juu ya sehemu ambapo nitaweza kupata mbegu bora ya hawa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nahitaji form six leaver aliyesomea PCB na yupo Dodoma haraka!!

    mkafundishe shule gani? au umeanzisha tuition?
Back
Top Bottom