Recent content by abuunadya

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mwanaume kumwambia kila kitu kuhusu ndoa yake?

    Kwa maoni yangu ni vyema uwe unamshirikisha mzazi katka migogoro ya ndoa ili akushauri kama mzazi Tafiti zimeonyesha wanaume wengi wanakufa kutokana na kuzidi kwa kero za ndoa anakua na kinyongo kila siku halafu hakuna hata wa kumueleza kwa kuhofia kutoa siri za ndani matokeo yake anapata...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Star times

    Wadau habar za pilika Iv ni Chanel gani kwenye Star times ipo kiromatic unaeza hata kukaa na mwenza wako mkjifunza mmbo flan ya kuimarsha relationships
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wanaume!

    Wanaume bhna sjui kwann tuko ivi yani kiukweli wanaume wengi hupenda wake zao wavae vizuri yaani isiwe nusu uchi but akikutana na alievaa nusu uchi humtamani balaa
  4. A

    JamiiForums Tanzania Ukiacha pesa nini unapenda zaidi

    Ukiacha pesa ni kipi kingine unapenda sana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake mvae nguo za stara kupunguza tatizo la nguvu za kiume

    Habari wana jf Kuna huu utafiti uliofanywa na wataalam ikiwa ni katka kujua sababu ya tatizo linalozidi kukua kla sku la upungufu wa nguvu za kiume mambo ni mengi yanayoweza kusababisha shida hiyo ikiwa ni pamoja na life style yetu But hapa nazungumzia moja tu ambalo limesemwa pia ni source ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Naacha kazi serikalini

    Hongera mkuu umepiga hatua but kwanza nikushauri kitu unafanya mambo mengi kwa wakati mmoja hutakua na ufanisi vizur ni bora nguvu zote ungezikusanya sehemu moja Pili nimefanya pia kazi ya duka kwa experience kazi ya duka inafaida ndogo sana hivyo inahitaji uaminifu wa hali ya juu mfano vocha...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Naacha kazi serikalini

    Asante mkuu yani umegusa kila angle
  8. A

    JamiiForums Tanzania Naacha kazi serikalini

    Nimependa sana mkuu haya maneno naomba ukinikubalia uendelee kunishauri hata baada ya huu uzi ubarikiwe sana
  9. A

    JamiiForums Tanzania Naacha kazi serikalini

    Hii cio kweli mkuu take home yangu ni 400000's na nmesema staki kuchukua mkopo nkaondoka mana cpendi kukaa nawaza ivi watantafta au hawatantafta stakua huru naitaji kuwa free
  10. A

    JamiiForums Tanzania Naacha kazi serikalini

    Mkuu nakuelewa sana
  11. A

    JamiiForums Tanzania Naacha kazi serikalini

    Mara mkuu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naacha kazi serikalini

    Hahaha umenifrahisha
  13. A

    JamiiForums Tanzania Naacha kazi serikalini

    Big [emoji115] mkuu
  14. A

    JamiiForums Tanzania Naacha kazi serikalini

    mkuu nakuunga mkono kabsa
  15. A

    JamiiForums Tanzania Naacha kazi serikalini

    We nmekusamehe bure mkuu!
Back
Top Bottom