Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Kama na mimi nimevaa jeans iliyochanwachanwa kwenye magoti na nimevaa kihereni sikio moja tunaweza kuongozana.
Zama ambazo waafrika walikuwa hawajaiga tamaduni za kimagharibi au asia.Unazungumzia zama zipi?
In Africa, minding other people's business is our one of our many businessesThe world would be a better place if people minded their own business
Unaona aibu?Kama na mimi nimevaa jeans iliyochanwachanwa kwenye magoti na nimevaa kihereni sikio moja tunaweza kuongozana.
Inategemea nyakati gani,mahali gani mnapoendaUnajisikiaje ukiongozana na mpenzi wako/ mke aliyevaa nusu utupu!?.
HapanaUnaona aibu?
Unajisikiaje ukiongozana na mpenzi wako/ mke aliyevaa nusu utupu!?.
Rafiki nisaidie basi!😳 😳 😳
Wee hebu niache!! Unataka nikose wachumba humu.?Rafiki nisaidie basi!
Kumbe huna mchumbaWee hebu niache!! Unataka nikose wachumba humu.?
Sina mkuuKumbe huna mchumba
The world would be a better place if people minded their own business



hivi kumbe tumeachana?Sina mkuu
sijui utumie mbinu gani kuniomba msamaha nikuelewe... yaani unasema mbele yangu kuwa uko single ili iweje?😀 😀 😀 😀 hapana babe
Hawezi kukosesha mchumba mzee wa chura, vijana ni wengi ni wewe tu kutangaza nia unamtaka mgombea yupiWee hebu niache!! Unataka nikose wachumba humu.?