Recent content by AbuuFarid

  1. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya watumishi wa Umma kwa mwezi Machi

    Ni kweli, kabisa.
  2. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Elimu bure ni usanii mtupu

    Ahsante...!!! Hata mm nlikuwa najiuliza, jamaa shuleni kwake kapewa Tsh 71,000/- Nusu yake 35500/- Kuwalipa walinzi, mitihani ya mock, muhula na wiki, ukarabati, posho, kununua karatasi, maandalio ya somo, chaki, umiseta, kulipia ukaguzi. Halaf nusu nyingine 35500/- Kununua vitabu, vifaa vya...
  3. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Ishu ya umeme imekaaje wakuu? Hebu nisomeni hapa, ni makusudi wanatufanyia au!!??

    Mbona sisi tumezoea babuuu! Sisi tunalala na Gesi yetu vunguni mwa kitanda Masaa 29, hapa msimbati Mtwara, lakini Wilaya Jirani hapa Nachingwea na Pale kwa Mkuu Wa Mawaziri ni Shidaa. Tumeimbaaa weeee mambo ya umeme Hatuelewi elewi, sasa tumenyamaza tumebadilisha style tunacheza yale tuliyoyaimba.
  4. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Ama kweli Mungu anajua kuumba jamani!

    Anaishi Tandahimba, Ni mmakonde huyu anaitwa ZUWENA LIBUI nimesoma naye shule ya Sekondari Kitangali, baadae akaenda Msumbiji, ndo amerudi mwaka 2015,
  5. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu kimenuka

    Uzinzi tu huo, tafuta mke muoe, achana na machangu doa
  6. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Hili halina Ubishi, Na anayebisha Apime upepo aone jinsi unavyovuma. Mim nina ushahidi wa matukio hayo, wengine nimesoma nao (wanawake), wengine nafanya nao kazi Ofisi moja, halafu napenda kuwachokonoa (kuwadadisi), Aiseh hata lugha zao zinaonesha kuwa hawa wadudu hawafai hata chembe. Kikubwa...
  7. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Fanya utafiti mdogo tu, utagundua kuwa ndoa nyingi zenye mgogoro ni ambazo Mwanamke ni Msomi. Labda kumi kwa 1. Na hiyo 1 ukifuatilia sana utaambiwa huyo mwanamke kashakimbiwa sana, mpaka hata kile alichodhania atakifanya katika maisha yake hakiwezekani ndipo anatafuta angalau wa kumpatia mtoto.
  8. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Diamond na kitu cheusi mkononi..

    Kuna tatizo gani? Kwani ni lazima itikadi zifanane? Mwacheni buana hakuna cha ajabu hapo. Kama unaamini hayo mambo unaweza ukamvalisha mwanao, na kama Huna iman na hayo mambo achana nayo hautaulizwa. Lakini yakiwafika ndio mtajua.
  9. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Operesheni safisha wenye vyeti feki Serikalini yaja mwezi Februari mwakani

    Kama amesomea Udaktari, atabaki kuwa Daktari pamoja na ufanisi wake katika kazi. Lakini kama ndani ya Udaktar wake kuna mahali alifanya Blunder ya kufoji vyeti, basi itachukuliwa sehem hiyo hiyo ya fojari na Sheria itaangalia hapo. Faini atapigwa pamoja na kifungo anaweza akalamba vile vile...
  10. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Search for beautiful girls to chart with

    Chart = Chat??? Haaaa haaaa haaaa....
  11. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Taarifa: Ziara ya Edward Lowassa kuwashukuru Watanzania kwa kura walizompigia

    Vip kuhusu kale Kachopa! Kenyewe katajazwa mafuta??
  12. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Nikivaa kinga nachelewa sana kumwaga, je hili ni tatizo?

    Kwa hiyo ndo umeandika nn!? Au unajitangaza kuwa wewe kazi yako ni Uzinifu! Wanawake wa4 ndio nn! Watu tuna stress zetu acha upuuzi
  13. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Mtoto mchanga mafuta yanamkataa

    Kuna mafuta ya Nazi yanaitwa VATIKA jaribu hayo au Tumia VASELINE BLUESEAL
  14. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaotaka kujipatia pesa zaidi kwa kupitia V-pesa (Wajasiriamali)

    Niko lindi naitaka hiyo Vmoney
  15. AbuuFarid

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nilishinda urais lakini CCM wakaupora ushindi wangu na dunia nzima inajua

    Nimeduwaaaaa!!! Jamaa ana roho ngumu kama Paka!
Back
Top Bottom