Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
ah hapo nimekuelewa basi kwa kiswahili kutumiana sms
Na kiingereza ni CHATTING hakuna R katikati. Mnavyowaiga wamerekani basi mnajikuta mnaweka R hata pasipokuwa R
ah hapo nimekuelewa basi kwa kiswahili kutumiana sms
All the best katika searching yako mr doctor.
tatizo nini faiza hili si jukwaa la kutafuta marafiki au kisa nimesema doctor
With those spellings you won't make it to any beautiful girl's chart.
Na kiingereza ni CHATTING hakuna R katikati. Mnavyowaiga wamerekani basi mnajikuta mnaweka R hata pasipokuwa R
asante ilkuminata
Am not ilkuminata am illuminata mr doctor
Sasa pie chart na uzuri wa msichana kuna uhusiano gani? Doctor!
illuminata sawa samahani leo na mawazo sana
Halafu anaweza kujua uzuri wa msichana kwa kuchat tu!
Hivi kwa nini huwa hatutaki kuwa wawazi na kuomba au kutafuta kile tunachotaka/hitaji?
tatizo nini faiza hili si jukwaa la kutafuta marafiki au kisa nimesema doctor
Hhhmm! Hiki kiingilishi cha "Dokta" hiki!!!! Hata hajui tofauti ya chart na chat?
Soma comments za watu.
ah hapo nimekuelewa basi kwa kiswahili kutumiana sms
Unajua maana ya chart? Maana sioni jinsi gani unaweza kuchart na mtu. Chart si zipo kwenye excel sheet
ah hapo nimekuelewa basi kwa kiswahili kutumiana sms
django si tumesharekebisha au ndio lazima ukandie