Habari za kazi mimi naitwa justine nakaa mbezi beach karibu na mbezi apartments,kuna jirani yangu anaitwa mziray ukifika mbezi apartments kona ya kwanza kulia nyumba ya tatu haina geti kulia anawaibia maji usiku kwa kukata mabomba na kukinga maji na kutulelea adha ya kutuharibia ukuta,kila siku...
Dear Tanesco team
Thanks for assistance kwa mrejesho ni kabla tar 111/02/2018 surveyor alinipigia club na kuja fanya tathmini na makadirio husika na tar 23/02/2018 nilipata sms kuhusu invoice Lusaka
Nina maswali machache kwenu according to REA kuvutiwa umeme.kwa gharama halisi ikiwemo nguzo...
Hello naitwa Justinian Barongo nauliza kuunganishishiwa umeme wa REA inachukua muda gani kufanya survey mpaka kuunganisha
Maana Nina nyumba ambayo tayari imefanyiwa mchoro mpaka kufunga wiring kwa kuzingatia vigezo stahiki na fomu niliwaachia Tanesco Bukoba toka Nov 21 2017,ila mpaka Leo...
Hi all,
Natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana naye mawazo awe na miaka 30-40 anayejielewa,msomi na ambaye anatambua nini maana ya maisha karibuni wanawake.
inategemea na nahitaji ambayo utaandikiwa vitu gani wanataka mfano kanzu,shuka LA shagazi,pombe in terms ya being ya kijijini no plus ng'ombe maelewano ni muhimu pia
kiukweli astahili hiyoheshima ya ubaba maana inreality siyo ila kisiasa sawa lakini siri anijua yeye na tutsi radicality , how can we give him respect wakat alitupatia matatizo ambayo mpaka leo tunayo mfano kuvuruga amani ya afriaca mashariki na kati kwa kutumia rasilimali za watanzana ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.