Ok, mkuu labda kabla hujajibiwa hoja Yako, tuambie how do you feel pale watt wako wa kike, dada zako, shangazi zako, mama zako wakubwa na wadogo pamoja na binamu zako wazalishwe na wanaume tofauti tofauti?. Ukitueleza unavyofeel then tutaanza kukueleza umuhimu wa kuoa.