Mikoa 5 ambayo ukiwa na laki haiishi

Mikoa 5 ambayo ukiwa na laki haiishi

ASUBUHI
Supu/maini na chapati 2 na juice Tsh 5000 , nauli kwenda na kurudi Tsh 3000.

MCHANA
chips mayai na kuku/ kitimoto na ndizi ,Tsh 15000 , mafuta ya Tsh 30000 kwenye gari,Vocha kifurushi Cha Tsh 5000 ,weka na luku Tsh 20000

USIKU
Kitimoto kilo Tsh 12000 , Bia nk Tsh 30000

Jumla Tsh laki moja na elfu ishirini za Kitanzania, haya Ni Maisha ya mtu aliye single.

NB
Sio mchanganuo wa kila siku, Ni kuonesha tu kwamba hiyo laki inaisha kwa siku moja
 
Yawezekana mwandishi hujawahi fika hiyo mikoa na hizo wilaya za songea na Bukoba maisha yapo juu sana.

Pia laki unaitumia katika nini?
 
Nilichoma zaidi ya laki One night Bukoba,au unasemea bukoba ipi.?

Mleta uzi una element za kimasikini.
 
Hii ni hotel moja huko Bukoba...kulala tu ni laki...hapo hujala na hujasafiri kwenda Bukoba...


Wew ni mshamba tu na maskni...na wala hujawahi kufika huko unapopataja..

Kaulizie lodge kwenye huu mtaa Bukoba uone kama utalala na 20k yako
Screenshot_20230802-225925.jpg
Screenshot_20230514-113731.jpg
Screenshot_20230514-144654.jpg
 
5. SONGEA (Ruvuma)
Hapa kitu ambacho ni Ghali sana ni nauli ya Super Feo tu kama unatoka Songea kwenda Mwanza nayo ni 90000 Laki Haiishi wakuu

4
. BUKOBA (Kagera)
Pamoja na Ujuaji wao wakiwa mikoa mingine au shuleni ila unaambiwa Bukoba hamna sehem unaweza Tumia laki ikaisha

3. NJOMBE

Kuna Sehemu Watu wamelazimisha Tu Kukaa ila Palitakiwa kua sio makazi ya watu pawe ni shamba la miti napo hakuna sehem ya kumaliza laki

2. MTWARA

Hapa penyewe hamna kitu cha kununua Laki ikaisha

1. KIGOMA
hapa huwezi kupatoa namba 1 kwa muda mrefu inapatetea hata kama ni wewe kigoma unamalizaje Laki [emoji23] hata kama unaweza kutumia hela
Sijawahi ishi Mae neo yote hayo
 
Ulivyotaja mtwara tu nikajua Kumbe huna unachokijua wala hujawahi kufika huko. Mtwara ni mkoa ghali kuishi kimaisha kuliko mkoa wowote Tanzania. Narudia kuliko mkoa wowote Tanzania. Hata Arusha haifikii Mtwara.
 
Sorry unazungumzia laki haiishi hata ukifanyaje? Je ukijenga unatumia elfu hamsinangapi?
 
Mtwara kuhonga mwisho 15,000. Ukimpa mwanamke wa Mtwara 20,000 anajua hicho Ni kifungua uchumba.
Hiyo 15,000 yenyewe unasusiwa mzigo hata mate utatema nje kupitia dirishani.
Ya kweli hayo mkuu?
 
Punguza ushamba ,kule maisha yapo juu hakuna access ya vitu vingi mpaka mitumba ni gharama.

Supply ni ndogo na demand ipo juu maisha ni magumu sana.
MBNA hasira hasira? Tafuta pesa wewe[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom