Inauma sana mkuu, nawashaur vyombo vyetu vya ulinzi wasitumie nafas hiyo kuua raia wasio na hatia kisingizio cha eti wanaongeaongea ovyo wakamatwe, waongeze nguvu za kiintelijensia na uchunguz wa kina kabla ya kutangaza vita bila kumuona adui. Ni mtazamo tu.
Mmh! Cdhani na sina taarifa kitoka kwenye ubongo wangu km kina mtu namchukia au nna wivu nae hata kama c mchangiaj sna wa post either za politics, economic,religious au yoyote ile. Ila huwa inaniudhi na inanipain pale mtu anapoamua kwa maksud kuichosha point ya msingi ya mtu eti kwa mahaba tu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.