Nakushauri itumie Tally ERP, binafsi nimeitumia kusimamia na kuendeshea biashara kubwa sana ya depot ya vinywaji, na kila kitu kilienda sawa, kuanzia stock management, uuzaji na ununuzi, huku ukitoa risiti za mauzo na hati ya kukabidhi mali yaani deliver notes.
Kwasasa nasimamia biashara ya...