Recent content by Abu-Irfan

  1. Abu-Irfan

    JamiiForums Tanzania Mtindo wa wanaume wa kibongo kuitana kwa kupeana vyeo, wadhifa na sifa

    Punguza makasiriko, ni majina tu wanaitana. Ikiwa hupendi wewe binafsi kuitwa unasema tu. Ila wao waache waendelee kuitana, naamini ni njia moja ya kuwekana pamoja. Utafika muda yatapotea na yatakuja mengine kabisa.
  2. Abu-Irfan

    JamiiForums Tanzania Nakatishwa tamaa kwenda Pemba

    Karibu Pemba
  3. Abu-Irfan

    JamiiForums Tanzania Safari bado ndugu yangu, hujamaliza!

    Wanasema LISHALOVUSHA SI DAU.
  4. Abu-Irfan

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kuwakumbuka Madaktari mbalimbali waliotusaidia tulipokuwa na changamoto za kiafya

    Mungu atuwezeshe kuzifuata nyayo zao kwenye yote yaliyo mema.
  5. Abu-Irfan

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa inayotibu kabisa ugonjwa wa kifafa?

    Pole sana, usikate tamaa. Naamini ipo dawa itakufaa. Angalia ambazo umeshatumia na endelea kuuliza wataalamu ipi ni nzuri zaidi.
  6. Abu-Irfan

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa inayotibu kabisa ugonjwa wa kifafa?

    Mdogo wangu alianza huo ugonjwa akiwa na miaka 10. Alianza kutumia Carbamazepine kwa muda wa miaka mitano mfululizo. Kwa sasa tunashkuru Mungu amekaa miaka 5 bila kutumia dawa na haijawahi kumtokea tena.
  7. Abu-Irfan

    JamiiForums Tanzania Niliugua Staphylococci. Vipi naweza kua nishapata utasa?

    Ikiwa ulipata uhakika kuwa ni Staphylococcus aurues basi kuna uwezekano pia ulipata uhakika ni dawa gani inafaa zaidi.
  8. Abu-Irfan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chura, shape, sura na kazi nzuri ya mkeo vimekusaidia nini katika maisha?

    Pole kwa yalokufika mkuu.
  9. Abu-Irfan

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili yaweka rekodi kuhusu upasuaji wa kifua wakitumia tundu moja

    Hongera kwa wote walioweka jitihada zao. Kwa ngazi zote zilizohitajika.
  10. Abu-Irfan

    JamiiForums Tanzania Wakuu nipo Nia panda

    Ultrasound results ni operator-dependant. You'll only see what your mind knows.
  11. Abu-Irfan

    JamiiForums Tanzania Unaweza kufanya kipimo cha Urinalysis majibu yakatoka safi ila ukawa na shida ya figo?

    Urinalysis tunazofanya huenda zisioneshe shida ya figo. Uhakika zaidi ni kulinganisha kinachoonekana kwenye urine na vipimo vya damu (creatinine, BUN, electrolytes). Hata ultrasound pia inaweza kutoa ishara (kidney size, CMD na flow ya damu).
  12. Abu-Irfan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, tunafahamu ''Pedophile'' ni nani na ana tabia zipi?

    Wapo kila sehemu. Mpaka humo tunamofata haki zetu pia tunawakuta. Yaani vurugu kila sehemu.
  13. Abu-Irfan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye ukimya kuna ujumbe umejificha, jitahidi uutafute

    Kweli kabisa.
Back
Top Bottom