Smoking is the single largest preventable cause of disease and premature death in the United States. It harms nearly every organ in your body including your eyes.
SMOKING AND CATARACTS
Cataracts (clouding of the eyes natural lens) are a leading cause of blindness in the world. More than 50...
BANK CHARGER ZA NEPTUNUS ZENYE UBORA WA KIPEKEE
SIFA ZAKE
~ Kwanza inakaa na charge kwa muda mrefu kwani android phone moja inaweza kujaa kwa kutumia asilimia 5-8
~Pili inaonesha kiasi kilichotumika ,mfano umeanza kucharge sim yako wakati bank charger yako ikiwa 100% mpaka sim yako kujaa inakuwa...
BIO PLUS ORGANIC SEA WEED FERTILIZER
Hii ni mbolea imetokanna na mimea au maotea ya majini. Hii ni mbolea ambayo ni ya asili kabisa kwani imetengenezwa kwa kuvundika mimea hii ya baharini na haina madhara kwa binadamu na mnyama yeyote.
Hii mbolea inafaa kutumia kwa kuchanganya na viua wadudu...
WEWE NI NANI?
Najua utakuwa umeshapata jibu na umesema aaah huyu Bassanga maswali yake banah, sasa kuna kuna mtu ambae hajijui yeye ni nani! Lakini kiukweli hujui wewe ni nani. Hebu jiulize hapo ulipo wewe ni nani, ukipata jibu sahihi basi naamini hapo ndipo maisha yako yatakapoanza kubadilika...
In this business, by the time you realize you're in trouble, it's too late to save yourself. Unless you're running scared all the time, you're gone.-Bill Gates.
JIONGEZE
Ni kweli mazingira uliyokuzwa nilikuwa marufuku baba au mama akishaongea kitu alafu wewe nawe utoe mchango wako kwenye hilo jambo. Ukajikuta ukiambiwa safisha sebuleni wala huwezi kujiongeza ukasafisha na chumbani. Lakini sasa umeshakua mkubwa unaweza jiongeza usikubali hali ile...
TATIZO NI TAFSIR TULIZOZIBEBA TOKA KWA WAZAZI.
Nikizungumza tafsiri nadhani unanielewa maisha yetu yako hapa yalipo kwa sababu ya tafsir tulizozibeba, hebu kumbuka mama yako alipokwambia tema mate tumchape mtoto mwenzako baada ya kukukosea ulibeba tafsiri kuwa lazima kila atakaekukosea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.