Recent content by Abrahamss

  1. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa kampuni bora ya vifaa vya solar kama vile solar panel, battery n.k.

    Nil Nilifanikiwa ndugu. Nilinunua baadhi ya vifaa kwa hao ensol vingine nikapata kariakoo. Kila kitu kiko poa hadi sasa.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Betri za solar

    Battery gani za solar ambazo unanunua zinaharibika kwa haraka? Battery nyingi za solar zinazopatikana kwa bei rahisi hazina uwezo mkubwa na hazidumu. Ukichanganya na poor charge controllers, battery nyingi zinakufa kabla ya wakati. Jaribu brands zifuatazo uone utofauti: 1. Dekka 2. Rolls...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mafundi Laptop Na Simu Nitapata Wapi Hiki Kifaa (DC Power Supply)

    Unahitaji kwa ajili ya kutumia na kifaa gani?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wale wa madish ya ku-band na C- band pamoja na receiver pitia hapa

    Hivi kariakoo receiver na vifaa vya dish kwa ujumla maduka yake yapo sehemu gani?
  5. A

    JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    Thank you very much Thank you very much for such assistance. I think i really need to upgrade to 6ft dish in the future for C-band channels. But for the moment i have to stick to 3ft dish because the space is truly limited. If i go for 130cm dish, will that help accessing more satellites...
  6. A

    JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    Hellow! I am about to enter into FTA World. But i thought i'd begin smaller with a 3ft dish as space is limited. What FTA decorder do you recommend? Which satellite will i be able to access? Location: Morogoro. Tanzania.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    Nahitaji vifaa vya solar genuine ikiwezekana kutoka Germany. Kariakoo nmepita maduka ni mengi lakini nna wasiwasi na ubora wake. Ni wapi naweza kupata vifaa hivyo?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu solar PV and solar pumps

    Hivi wapi naweza kupata MPPT charge conctoller? Na kwa bei gani? Maana hapo kariakoo maduka niliyopitia hawana.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kutokula nyama siku ya Ijumaa Kuu kwa wakristo ni imani potofu

    Nafikiri kuna kitu kinafanya tushindwe kuelewana. Dini ni imani hutakiwi kuleta sense making kwenye imani. Kwa sababu itabaki kuwa hivyo, imani. Cha msingi ni kuwa mtu mwenye imani husika anajua umuhimu wa anachokifanya. Mtoa mada anaposema wakristu wakatoliki hawali nyama kwa sababu ni sawa na...
  10. A

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Dah ila usingizi ukikata noma
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali iajiri Walimu wenye ufaulu wa daraja la kwanza au la pili kwenye vyeti vya elimu ya sekondari(Kidato cha nne na sita)

    Kuna vitu kadhaa mtoa mada umeshindwa kuvielewa vizuri. 1. Kuchukua walimu wenye division one ya form six na form four haimaanishi ndio wanafunzi watafanya vizuri kwanza academic performance sio static inategemea Na kujituma kwa mtu kuboresha maarifa yake. Wapo waliopata hizo div 1 Na 2 Na chuo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Janga la Masters by Research Tanzania: “Lawson” yatesa Wahitimu

    Kwa jinsi hili Jambo lilivyokaa sidhan km it is just a glitch in the system(I stand to be corrected). Perhaps, the government really prefers master by coursework and thesis as opposed to thesis only. True, hizi masters zinaweza kuwa sawa but conceptual and theoretical knowledge might be more...
  13. A

    JamiiForums Tanzania University offer ya VodaCom

    Hapana m sijasajiliwa lakini inakubali tu
  14. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa kampuni bora ya vifaa vya solar kama vile solar panel, battery n.k.

    Asante sana jamaa. Ntawafatilia nijue bei zao.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa kampuni bora ya vifaa vya solar kama vile solar panel, battery n.k.

    Nipo Pwani maendeo ya chalinze mkuu. Hao jamaa wa Sundar nimewaona hapo kkoo sema sikuwa najua ubora wa vifaa vyao
Back
Top Bottom