Recent content by Abraham Moshi

  1. Abraham Moshi

    Rais Samia Suluhu hili la Scheme of Service nalo linasubiri huruma yako!

    Ndiyo na kada wataalamu na mafundi wa taaluma mbalimbali
  2. Abraham Moshi

    Rais Samia Suluhu hili la Scheme of Service nalo linasubiri huruma yako!

    Mkuu hakuna sababu ya kutoa povu kwenye hili, ila ushauri wako ni mzuri.
  3. Abraham Moshi

    Rais Samia Suluhu hili la Scheme of Service nalo linasubiri huruma yako!

    Ni kuhusu maelekezo yaliyotoka Serikalini tarehe 08 Februari,2021 kuidhinishwa Muundo mpya wa maendeleo ya Utumishi (Scheme of Service) Ulioanza kutumika terehe 01 Machi 2021) kwa baadhi ya taasisi za Umma. Kutokana na mabadiliko ya Muundo huo imeonekana kuwa, Mishahara ya watumishi hao ni...
  4. Abraham Moshi

    Flat Screen inbuilt decorder iliyo crack hiyo decorder inaweza kutumika kwenye Screen nyingine?

    Msaada kwa wataalamu wa electronics juu ya TV Flat Screen inbuilt decorder iliyo crack hiyo decorder inaweza kutumika kwenye Screen nyingine?
  5. Abraham Moshi

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Kin'amuzichangu kimeharibika nitatengenezewa wapi ?
  6. Abraham Moshi

    Eneo linauzwa Kibaha kwa Mathias Kidenge

    0754 459 053 Chukua hizo namba za cmu upate Fully Details
  7. Abraham Moshi

    Digital Camera imeokotwa

    Nafikiri hizo zinaweza kusaidia kupatikana kwa muhusika.
  8. Abraham Moshi

    Digital Camera imeokotwa

    Vuta subira natafuta cable ya ku upload
  9. Abraham Moshi

    Eneo linauzwa Kibaha kwa Mathias Kidenge

    Eneo la hekari mbili linauzwa Kibaha kwa Mathias Kidenge njia ya kwenda Msangani kuna maji na umeme upo karibu, barabara inafika mpaka kwenye eneo. Lina miembe miwili, minazi mitano, michungwa miwili. Linapakana na kanisa Katoliki kigango cha Nyumbu kilomita 5 kutoka barabara ya Morogoro...
Back
Top Bottom