Recent content by Abodi

  1. A

    Msaada hotel nzuri ya kupumzika na familia Mwanza,isiwe katikati ya mji

    Kumalija hotel.....ipo stendi ya nyegezi....chumba 20,000 tu....vyakula vipo poa sanaaaaaaa....uta enjoy sanaaa
  2. A

    Mada maalum: Karibu tujadili masuala yote kuhusu Mikopo ya Elimu ya Juu

    Jamani chuo nishapata lakini mkopo mpaka sasa sijui kama nimepata.....nifanyaje?sina hela ya kulipia karo
  3. A

    Chuo nimepata lakini mkopo sijui kama nimepata....tusaidiane...utajuaje utapewa mkopo?

    Ukishapata chuo ni lazima upate na mkopo???mi tayari nimepata chuo...wasiwasi wangu mkopo
  4. A

    Tuliyo apply vyuo kutumia vyeti vya diploma tutachaguliwa lini?

    Sisi wenye vyeti vya diploma hatujachaguliwa mpaka leo kwenda kusoma Degree...tutachaguliwa lini?tumechoka kusubiri
  5. A

    Hivi kuna uwezekano wa kupata mkopo huku umekosa chuo?

    Habari zenu wakuu, Hivi ukikosa chuo ni lazima ukose na mkopo? Au kupata mkopo kunafuatana na chuo ulichochaguliwa? Naomba msaada.
  6. A

    Hivi ukikosa kuchaguliwa first round, ukakosa tena second round, kipi kinafuata sasa?

    Tusaidiane wana JF, Ukikosa chuo kuchaguliwa first na second round, unafanyaje sasa?
  7. A

    Mtu aliyepata division one O-level ana akili sana kuliko aliyepata division one A-level

    Elimu ya O level ina masomo mengi sana kuliko A level
  8. A

    Mchango wa kwenda kusoma Phd

    Naombeni mchango nikasome Phd
  9. A

    Nampenda sana mke wangu...

    Tupende wake zetu
Back
Top Bottom