Kwanini Rais Magufuli hafanyi monthly au quarterly press conference?

EIGHTIESTHROWBACK

JF-Expert Member
Aug 4, 2016
328
275
Siri tumelelewa enzi za binadamu wote ni sawa na tushazowea kuitana NDUGU. Uongozi wa JF umefuta neno NDUGU kwee kichwa cha habari na kweka RAIS paspo kuniuliza mimi muleta mada. In maana JF sasa iko moderated toka Ikulu au nini?

Mimi wanasiasa na kila mtu naira ni NDUGU.

Kwanini NDUGU Magufuli hafanyi press conference ya hata massa 3 hivi akijibu maswali toka kwa kila mwandishi wa habari au watanzania kwa ujumla?

Naamini huu ungekuwa muda muafaka wa kujibu maswali ya kila namna kama vile kwa nini serikali yake imegoma kuweka tovuti ambayo wananchi na watanzania wangeweza kupata habari zote zinazohusu kuhamia Dodoma, Masterplan ya Dodoma nk.

Au serikali yake mbona haijaweka wazi 10 year strategic plan ya shirika la ndege la ATC na kama kuna umuhimu wowote ule wa kuwa na shirika la ndege la serikali, au angetuelezea kuwa toka kaingia madarakani mbona hajafuta mikataba ya kifisadi kama ya IPTL ambayo kwa siku wanailipa serikali milioni 400 kwa mkataba wa miaka 30 au Je serikali yake kwanini haina comprehensive infrastructure plan, au kwanini serikali yake imetumia karibu milioni 380 ku deal na Tindu Lissu, au kwanini hajatembelea Pemba au Zanzibar toka awe rais?

Je amefanya jitihada zipi kumaliza migogoro ya ardhi maeneo mbali mbali au kwa nini serikali yake inapinga inapiga vita ushoga na mashoga na inatangaza wazi kuwa haitaki misaada toka wazungu lakini wakati huo huo inapokea misaada yenye masharti ya ushoga toka kwa wazungu, au kwa nini hajatujulisha fala hajatoa ripoti ya kikosi kazi cha siri alichokitangaza kuwa kinafanya kazi ya kufuatilia mafisadi (basically hili ni task force yake ambayo haijulikani iko kwenye juridiction ya nani na ina powers za namna gani na ina oversights zipi na kwa nani).

Au kwanini tuingie gharama za mabilioni kufungua mahakama za mafisadi wakati mahakama zipo na sherry zip na kinachotakiwa ni enforcement, au kwanini serikali yake haipendi transparency na democracy, au kwanini rule of lado chini yake bado ni tatizo, au kwanini anatangaza serikali yake haitofanya ajira upya huku inatangaza ma DC na RC luluki, au kwanini alimteua Harrison Mwakyembe ambaye anatuhumiwa kwa ubadhirifu TRC kuwa waziri, kwanini serikali yake imegoma tumumia teknolojia ambayo ingerahisisha mazoezi ya kuhakiki wafanyakazi hewa na vyeti feki, au kwanini seirkali yake inaona bora kujenga mabwawa ya kufuga samaki kwenye nchi iliyojaa mito ma ziwa badala ya kujenga barabara, na kupeleka umeme vijijini au hula anafanya nini ku pumzika na bi janet na watoto wat?

Lini NDUGU Magufuli atafanya hiyo press conference?
 
Kwa nini Ndugu Magufuli afanyi Press Conference ya hata massa 3 hivi akijibu maswali toka kwa kila mwandishi wa habari au watanzania kwa ujumla?

Naming huh ungekuwa muda muafaka wa kujibu maswali ya kila namna kama vile kwa nini serikali yake imegoma kuweka tovuti ambayo wananchi na watanzania wangeweza kupata habari zote zinazohusu kuhamia Dodoma, Masterplan ya Dodoma nk.

Au serikali yake bona haijaweka wazi 10 year strategic plan ya shirika la ndege la ATC na kama kuna umuhimu wowote ule wa kuwa na shirika la ndege la serikali, au angetuelezea kuwa toka kaingia madarakani mbona hajafuta mikataba ya kifisadi kama ya IPTL ambayo kwa siku wanailipa serikali milioni 400 kwa mkataba wa miaka 30 au Je serikali yake kwa nini haina comprehensive infrastructure plan, au kwa nini serikali yake imetumia karibu milioni 380 ku deal na Tindu Lissu, au kwa nini hajatembelea Pemba au Zanzibar toka awe rais?

Je amefanya jitihada zipi kumaliza migogoro ya ardhi maeneo mbali mbali au kwa nini serikali yake inapinga inapiga vita ushoga na mashoga na inatangaza wazi kuwa haitaki misaada toka wazungu lakini wakati huo huo inapokea misaada yenye masharti ya ushoga toka kwa wazungu, au kwa nini hajatujulisha fala hajatoa ripoti ya kikosi kazi cha siri alichokitangaza kuwa kinafanya kazi ya kufuatilia mafisadi (basically hili ni task force yake ambayo haijulikani iko kwenye juridiction ya nani na ina powers za namna gani na ina oversights zipi na kwa nani),

au kwa nini tuingie gharama za mabilioni kufungua mahakama za mafisadi wakati mahakama zipo na sherry zip na kinachotakiwa ni enforcement, au kwa nini serikali yake ihaipendi transparency na democracy, au kwa nini rule of lado chini yake bado ni tatizo, au kwa nini anatangaza serikali yake haitofanya ajira upya huku inatangaza ma DC na RC luluki, au kwa nini alimteua Harrison Mwakyembe ambaye anatuhumiwa kwa ubadhirifu TRC kuwa waziri, kwa nini serikali yake imegoma tumumia Teknolojia ambayo ingerahisisha mazoezi ya kuhakiki wafanyakazi hewa na vyeti feki, au kwa nini seirkali yake inaona bora kujenga mabwawa ya kufuga samaki kwenye nchi iliyojaa mito ma ziwa badala ya kujenga barabara, na kupeleka umeme vijijini au hula anafanya nini ku pumzika na bi janet na watoto wao?
Hana majibu ya waandishi wa habari,
 
Lowassa na Magufuli wote walikwepa midahalo.........usitegemee jambo hilo na hata kama yule wa monduli angeukwaa.
 
Because he says all that needs to be said at every opportunity he gets, be it a political rally, unveiling events etc. After all he is the 'chosen one' and the most knowledgeable of all creatures, well all are self proclaimed that is.
 
Hatua zake dhidi ya mafisadi ni hotuba tosha tena sio ya mwisho wa mwezi ni kila siku
 
Kwanini Rais Magufuli hafanyi press conference ya hata massa 3 hivi akijibu maswali toka kwa kila mwandishi wa habari au watanzania kwa ujumla?

Naamini huu ungekuwa muda muafaka wa kujibu maswali ya kila namna kama vile kwa nini serikali yake imegoma kuweka tovuti ambayo wananchi na watanzania wangeweza kupata habari zote zinazohusu kuhamia Dodoma, Masterplan ya Dodoma nk.

Au serikali yake mbona haijaweka wazi 10 year strategic plan ya shirika la ndege la ATC na kama kuna umuhimu wowote ule wa kuwa na shirika la ndege la serikali, au angetuelezea kuwa toka kaingia madarakani mbona hajafuta mikataba ya kifisadi kama ya IPTL ambayo kwa siku wanailipa serikali milioni 400 kwa mkataba wa miaka 30 au Je serikali yake kwanini haina comprehensive infrastructure plan, au kwanini serikali yake imetumia karibu milioni 380 ku deal na Tindu Lissu, au kwanini hajatembelea Pemba au Zanzibar toka awe rais?

Je amefanya jitihada zipi kumaliza migogoro ya ardhi maeneo mbali mbali au kwa nini serikali yake inapinga inapiga vita ushoga na mashoga na inatangaza wazi kuwa haitaki misaada toka wazungu lakini wakati huo huo inapokea misaada yenye masharti ya ushoga toka kwa wazungu, au kwa nini hajatujulisha fala hajatoa ripoti ya kikosi kazi cha siri alichokitangaza kuwa kinafanya kazi ya kufuatilia mafisadi (basically hili ni task force yake ambayo haijulikani iko kwenye juridiction ya nani na ina powers za namna gani na ina oversights zipi na kwa nani).

Au kwanini tuingie gharama za mabilioni kufungua mahakama za mafisadi wakati mahakama zipo na sherry zip na kinachotakiwa ni enforcement, au kwanini serikali yake haipendi transparency na democracy, au kwanini rule of lado chini yake bado ni tatizo, au kwanini anatangaza serikali yake haitofanya ajira upya huku inatangaza ma DC na RC luluki, au kwanini alimteua Harrison Mwakyembe ambaye anatuhumiwa kwa ubadhirifu TRC kuwa waziri, kwanini serikali yake imegoma tumumia teknolojia ambayo ingerahisisha mazoezi ya kuhakiki wafanyakazi hewa na vyeti feki, au kwanini seirkali yake inaona bora kujenga mabwawa ya kufuga samaki kwenye nchi iliyojaa mito ma ziwa badala ya kujenga barabara, na kupeleka umeme vijijini au hula anafanya nini ku pumzika na bi janet na watoto wao?
vilaza wengi nchi hii
 
Back
Top Bottom