Recent content by able1991

  1. A

    Sababu 10 kwanini John Magufuli atashinda uchaguzi Mkuu wa Urais 2015

    Hizo ni sofa za waziri mkuu ndugu sio za raisi.tunamhitaji MTU ambae ana uwezo Wa kufanya maamuzi sahih kwa muda muafaka,kiongozi mwenye uwezo Wa kutuunganisha tuw wamoja,kiongozi mwenye vision na nk.mafufuli is only good in managing bureaucracy.
  2. A

    Magufuli kuwabana vigogo wa CCM

    Ndugu hayo alitakiwa ayafanye wakati wenzake wanatangaza nia uli wanaccm wampe kura ya kusimama kama mgombea wao. Labda nikuulize ujenzi Wa chama chake ss tusio na vyama unatuhusu nn?
  3. A

    Magufuli kuwabana vigogo wa CCM

    Angeweza kama angekuwa mgombea binafsi.hao anaowazungumzia ndo waliomzunguka na ndo wanaomnad na ndo walio mpitisha.hata kama kasema hiyo ni siasa tu.
  4. A

    Magufuli kuwabana vigogo wa CCM

    Mi naona kama anajichanganya kwa sababu alisema kuwa ataisimamia ilan ya ccm ndo maan akutangaza nia.kwa hiyo mwisho Wa siku atakuwa anafanya kaz kwa kufuata matakwa na interest za chama na sio vinginevyo.ni ngumu kuniaminisha kuwa ataweza wakati wao ndo waloumuweka ,hao hao ndo wana mnadi...
  5. A

    UKAWA/CHADEMA mripoti hili NEC mara moja, la sivyo mtajuta muda si mrefu

    Time yenyewe si IPO upande wao ndugu.wenyewe wanasubiri mpaka wakalalamikiwe na vyama husika.
  6. A

    Magufuli Ni Kondoo alokuwa anauchapa usingiz kwenye Chaka La simba, Wabadhilifu Wahof

    Hizo ni ndoto kwa sababu mwenyewe alishasema atatekeleza ilani ya ccm.angesema before ajateuliwa apo sawa.na pia yeye na chama chake wanatakiwa watupe majibu kwa nn kwa nn viongozi wao wanafanya mambo kama hayo,hapo tutawaelewa
  7. A

    Magufuli kaingia kichakani

    Kaka hapo umenena mi nilimshuhudia mwingine akiitwa mkimbizi baada ya kuonekana na anamponga lowasa.
  8. A

    GE2015 UKAWA ni Genge hatari kwa amani, utulivu na maslahi mapana ya Tanzania

    Mi nilidhani angetujibu kwa nn mtaan madawa yapo na hospital hamna na pia hatua atua walizochukua mpaka sasa kukabiliana na tatizo ilo.ila swala la yeye kutuuliza sis inasikitisha mpaka nashindwa kumtofautisha yeye na upinzani
  9. A

    Je, elimu ni kipaumbele sahihi Tanzania?

    Mkuu elimu ndo kila kitu hasa kwenye ulimwengu huu Wa leo Wa sayansi na teknologia.hill lipo wazi.mfumo Wa sasa ambao haueleweki utasababisha tuburuzwe kwenye jumuia ya Africa masharik.
  10. A

    Lowassa Mbona Hatuoni Umaarufu Wake

    Tofautisha kati ya umaarufu na ushawishi,kwa sababu kama ni umaarufu anao mkubwa sana ndo maana kila kona lowasa sasa sijui unazungumzia umaarufu Wa aina gan?jipange
  11. A

    Mh Lowasa amezitukana mamlaka zote pamoja na Watanzania wote?

    Una udhibitishoooooooooooooo talk with fact
  12. A

    hodi

    jamanh mi mgen.naomba wanajamii forum mnipokee
Back
Top Bottom