gwamaka aswile
Senior Member
- Mar 26, 2015
- 186
- 106
Wakati Tony Blair anatoa vipaumbele vya
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
Lazima tujiulize maswali yafuatayo,
Huduma za afya za uingereza zilikuwaje.?
Je kuna mama alikuwa anajifungulia chini?
Madawa hospitalini yalikuwa yana sua sua?
Uingereza ilikuwa na madaktari wa kutosha?
Kilimo, wakulima wa uingereza walikuwa katika hali gani, walitumia jembe la mkono au walitegemea mvua?
Soko la mazao yao lilikuwa vipi?
Huduma za jamii kama maji na nyingine zilikuwaje?
Pato la mtu mmoja mmoja lilikuwa kiasi gani na je walitegemea nini katika kuwaingizia pato lao. Nilimsikiliza Mgombea urais kwa tiketi ya ukawa ndg Edward Lowassa na akadai ametohoa vipaumbele kutoka kwa Tony Blair wa uingereza lakini hakujiliza kama mazingira ya Tanzania na Uingereza yanafanana kwa kiasi gani ,
Kwa Tanzania akina mama bado wanachangamoto ya huduma za afya, maji kwa vijijini ni asilimia 65% na mjini ni 85% tumepiga hatua ila bado hatujafikia malengo Watanzani wengi tumejiajili kwenye kilimo , sijaona strategy za kuinua kilimo na kukifanya kuwa sekta mhimu.
kwa hili la elimu, elimu na elimu mzee wa watu atakuwa kachemka na ndio madhara ya kukopi na kupest bila kujihoji kama unachokikopi ni rafiki kwa mazingira yako.
Bado naendelea kusoma kwenye website