Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,760
- Thread starter
- #21
Nani kakudangaya? kura haziesabiwi na uniform. Mbona wengi tunavaa uniform za shule na za kazini lakini moyoni na akilini unatafuta kazi au shule mbadala? Wengi kijani wanavaa kulazimishwa kwenye box la kura tuko Nao UKAWA
Umewashindilia msumar ,hivi wakiona uniform ndio wanaamini kuwa wanashinda ,mbona hatuoni wakivaa hizo uniform mitaani ukilinganisha na wanaUKAWA ,habari za wanaojitutumua kuwa wao ni CCM ni za kusikitisha sana ,unajua hivi sasa ni aibu kubaa uniform ya CCM mtaani inataka moyo sana na uwe umeshajitolea kikwelikweli.
Kwanza huwezi wala huwa hawana nguvu ya kujitetea katika vibaraza ,muda mwingi wanakuwa wapo wadhaifu kabisa maana hawana la kujisifia baada ya miaka 50.
Jamaa mmoja aliitwa CCM ndani ya dala dala nusra auwe mtu ! Yaani alifanyiwa kamzaha tu kwa kuambiwa wewe ccm nin ? Aloo ilikuwa pata shika jamaa alitoa matusi huku akisema wataka kuniulisha ,daladala ilibidi isimame ,chezea mabadiliko wewe !