Recent content by ABINALA

  1. ABINALA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Imekua rahisi sana kufanya tendo na mpenzi wako muda mfupi tu baada ya kuwa wapenzi?

    Hiki ni kizazi ambacho sex is cheap "Sex rampant society"
  2. ABINALA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Mume

    Nimesikia sauti ya hii meseji!
  3. ABINALA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jf sio kisiwa

    Habari wapendwa wana jamvi LA jf! Kuna watu wanashangaa sana kuona MTU anatafuta mwenza jf! Sijaju ni kwanini wanabeza kuwa mwenza wa jf ni mwenza kama wenza wengine tu unaoweza kukutananao kanisani, kisimani,sokoni nk. Hivyo basi napenda kuwahusia wale wanaotukandia sisi tuliojipatia wenza hapa...
  4. ABINALA

    JamiiForums Tanzania Lengai ole Sabaya akutwa na ukwasi wa Tsh. Bilioni 3 baada ya kupekuliwa

    Ooooo! Kishindo! Ooooo miundombinu kumbe watu wanamaliza msosi jikoni wanaleta kiduchu mezani na kutufanya ndondocha eti tuvumilie IPO siku .......tutakula mema ya nchi ........ Uzuri no kwamba Mungu yupo juu ya vyote.
  5. ABINALA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imenikera. Hivi inawezekana ikawa ni kweli anachosema!?

    [emoji100]
  6. ABINALA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imenikera. Hivi inawezekana ikawa ni kweli anachosema!?

    [emoji22] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
  7. ABINALA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imenikera. Hivi inawezekana ikawa ni kweli anachosema!?

    Pesa sina
  8. ABINALA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imenikera. Hivi inawezekana ikawa ni kweli anachosema!?

    Nilimpata Mke wangu kwenye platform hii! Lakini amekuwa pasua kichwa mno Akikosa inabidi nimwombe msamaha Leo nimekuta chati ndefu ya kimahaba na mwanaume mwingine whatsapp. Nimemwomba simu yake kazingua. Nikaamua kumnyang'anya na kuisoma. Amenimind noma Nafanyaje sasa. Kwani hataki...
  9. ABINALA

    JamiiForums Tanzania Mungu anijalie nipate mke humu JF

    Mimi nilijipatia Mke humu tena ni material since 2014 now tuna kid of 3 year.Wa humu ndo haohao tunapishananao kitaa Tofauti ni area if incidence tu !!! Tia bidii utampata! Aluta continua!!!!!
  10. ABINALA

    JamiiForums Tanzania Naanzaje?

    Muombeee apate mume mwema na afike salama! Wewe si mwanaume lijali Inawezekana huyo mtoto si mzuri sana kwani hayo mambo ni automatic kama anyonyavyo baada ya kuzaliwa tu bila tuition
  11. ABINALA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania O need

    Hi my colleagues! I am on need of a sweet partner for deep insides! For anyone come inbox I am a male being
  12. ABINALA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali: Ulianza vipi kupiga punyeto?

    2004 baada ya kuwa bored na mauli wa kitabu mzee alisimama Nilipomshika nikajisikia ashiki Kali Nadhani chumba nilichokuwa nasomea kilikuwa na pepo mchafu aliyeniambi nijaribu kujichua Kwani baada ya hapo ni majanga tu Kila siku napanga kuacha kesho
  13. ABINALA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka ndugu zangu, nahisi kuahirisha ndoa

    Just normal Hata huku kwetu wapo wazuri zaidi ya hao wa3 tatizo hujawaona tu So vaa tinted mwanakwetu!!!!!
  14. ABINALA

    JamiiForums Tanzania Biashara yangu inaniingizia faida ya Tsh. 200,000 kila mwezi; Je, Niiache niende chuo?

    Nilifuata madeni university (13000,000) Niliowaacha kitaa wana miliki vingi vya kwao. Mimi Niko kwenye ndoa na HESLB
  15. ABINALA

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kufahamu taratibu za mikopo taasisi za fedha

    Viambatanisho kwenye form ya kuomba mkopo vinakatisha tamaa!
Back
Top Bottom