Recent content by Abibu

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hivi watanzania taaluma (professional) gani tunayo imudu vizuri?

    Tatizo ni kwamba wanasiasa hawatoi nafasi wataalamu kuonyesha utaalamu wao. really true
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kinachonikera nikiwa jijini Dar

    dar inaboa sana
  3. A

    JamiiForums Tanzania mgao wa umeme

    jamani tanesco wanakera!!!!!!!!! Mara wamesema mgao miezi 3 hakuna ,sasaivi wanakata umeme ghafla tu na kuurudisha HAWAJUI VYOMBO VYETU VINAUNGUA????? Waache hiyo tabia.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mh. Zitto Kabwe apelekwa India kwa matibabu zaidi

    hatuna dawa za malaria ni propaganda tu wachache wajipatie pesa nothing else...................dawa za kichina feki wanasema zinatibu malaria...hatuna serikali watanzania wizi mtupu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kampal intrnational university dar college wagoma

    bora hata IMTU wamesikilizwa KIU even kusikiliza hawataki
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi kampal intrnational university dar college wagoma

    wanafunzi wa KIU wamegoma jioni hii kutokana na kero zao kutosikilizwa na management na ghasia hizo zimetulizwa na FFU. Chuo hiki kina matataizo mengi sana kutokana na kushindwa kuweka mambo sawa kati yao na wanafunzi esp.mfumo wa kulipa ada kwa dola na the way wanavyodeliver education to the...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kampala International University dar college wagoma

    chuo cha kampala international university walikuwa katika mgomo jioni hii kwa sababu ya ada kubwa na sytem ya kutoa elimu kwa njia ya modules kwa one month FFU ndio waliowatawanya. tution fees is too high ie 3m and 8 laki per year compare to the type of education they delivered. 95% of the...
Back
Top Bottom