mgao wa umeme

Abibu

Member
Oct 24, 2011
7
1
jamani tanesco wanakera!!!!!!!!! Mara wamesema mgao miezi 3 hakuna ,sasaivi wanakata umeme ghafla tu na kuurudisha HAWAJUI VYOMBO VYETU VINAUNGUA????? Waache hiyo tabia.
 
Back
Top Bottom