Wanafunzi kampal intrnational university dar college wagoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi kampal intrnational university dar college wagoma

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Abibu, Oct 28, 2011.

 1. A

  Abibu Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanafunzi wa KIU wamegoma jioni hii kutokana na kero zao kutosikilizwa na management na ghasia hizo zimetulizwa na FFU.
  Chuo hiki kina matataizo mengi sana kutokana na kushindwa kuweka mambo sawa kati yao na wanafunzi esp.mfumo wa kulipa ada kwa dola na the way wanavyodeliver education to the students. education which they deliver is very poor compare to the amount of money they take. first of all kila mwanafunzi ana ada yake katika class moja ukitoka nje ya class pia kila student ana ada yake at the same course. then malecturer wa kitanzania ni 5% plus waliopo kwenye management with very low salary in tsh.then waganda na few kenyans wanalipwa kwa dola their salary. apart from that hawataki kusikiliza kero hizo za wanafunzi ila kutoa promise zisizo za kweli every time. wanatunyonya sana hawa waganda na wanatuona wapumbavu it is better wafunge chuo chao waondoke sio kuja kuharibu kizazi kizuri cha watanzania.
   
 2. 2my

  2my JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 30, 2010
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kumbe KIU haina tofauti na IMTU......mpaka watu wagome ndo wanasikilizwa shida zao!!
   
 3. A

  Abibu Member

  #3
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bora hata IMTU wamesikilizwa KIU even kusikiliza hawataki
   
 4. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #4
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Hii lugha uliyotumia inawakilisha chuo unachosoma!!.Nilikuwa naambiwa KIU ni chuo cha kisanii sasa kwa jinsi ulivyowasilisha hoja yako naungana na wanaosema KIU ni chuo cha kisanii.
  Kuhusu ujumbe kwenye hoja yako kama kuna ukweli basi mnayo haki ya kudai haki zenu
   
Loading...