Kampala International University dar college wagoma

Abibu

Member
Oct 24, 2011
7
1
chuo cha kampala international university walikuwa katika mgomo jioni hii kwa sababu ya ada kubwa na sytem ya kutoa elimu kwa njia ya modules kwa one month FFU ndio waliowatawanya. tution fees is too high ie 3m and 8 laki per year compare to the type of education they delivered. 95% of the management are ugandan and very few kenyan an 5% are tanzanian. also lectures wa kitanzania wanalipwa kwa tsh. small amount of money while wakenya na waganda wanalipwa kwa dola na wanafunzi wanalipa kwa dola is it fair jamani????? sasa tunyonywa hadi kwenye elimu,what shall we do? hayo ni machache tu but mgomo jtatu unaendelea hadi kieleweke.
 
mnapenda kudhalau vya kwenu, kitovu cha elimu bora bado kipo mlimani tusijidanganye na zile multiple choice za zain kwenye tv. watanzania hatupendi vilivoy vyetu tunakumbatia vitu vya nje na kwa kuwa tuna pesa za kifisadi tunataka tusomeshe watoto wetu nje ili tujionyeshe kwa vile na hizo hela hatuna uchungu nazo kwa sababu ni za wizi, and then kwenye long run tunapandikiza kasumba for others to follow
 
Back
Top Bottom