Recent content by abena

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uligunduaje kama mwanaume/mwanamke wako anachepuka, na ulichukua hatua gani?

    Mkuu software ipi hiyo
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uligunduaje kama mwanaume/mwanamke wako anachepuka, na ulichukua hatua gani?

    Inauma sana. Pole sana mkuu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ifahamu ‘U boat’ nyambizi ya kijerumani na nyambizi ya kwanza yenye kutengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu kwa kipindi hicho!

    Nakuunga mkono mkuu, sidhani kama Kwa wakati huo hizo U BOAT zilikuwa na uwezo wa kupiga target ilio 15,000km, labda mwandishi ana maanisha M na sio Km
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri niende kubaki Marekani au nirudi nyumbani

    Subiri ukifika Marekani ndo uulize swali lako
  5. A

    JamiiForums Tanzania Asikudanganye Mtu! Kwa maamuzi yaliyotokea Mshindi ni Mitandao yote ya Kijamii na hasa hasa huu wa JamiiForums

    Kula like. Hilo rais alilisahau. Hao jamaa wawe mfano atakapostaafu wapewe hizo 25% na Ile 1/580 halafu waje walete mrejesho wa faida ya kutumia kikokotoo Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United yatangaza kumtimua kocha Jose Mourinho

    Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amefutwa kazi leo tarehe 18/12/2018. Miaka mitatu iliyopita Jose Mourinho alifutwa kazi umeneja wa klabu ya Chelsea tarehe 17/12/2018.
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool katika EPL msimu huu

    Full time Liverpool 3 - 1 Manchester United
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Man Utd itakuwa timu ya kwanza kuifunga Liverpool katika EPL msimu huu

    Full time Liverpool 3 - 1 manchester United
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kuzorota kwa mahusiano kati ya Tanzania na Jumuiya za Kimatafia, Mahiga awajibike..

    Huo ndo ukweli 85%
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kuzorota kwa mahusiano kati ya Tanzania na Jumuiya za Kimatafia, Mahiga awajibike..

    Kemea wewe hayo unayotaka Maiga akemee.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kuzorota kwa mahusiano kati ya Tanzania na Jumuiya za Kimatafia, Mahiga awajibike..

    Aachie ngazi ili wewe upewe hiyo nafasi?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kuzorota kwa mahusiano kati ya Tanzania na Jumuiya za Kimatafia, Mahiga awajibike..

    Kemea wewe hayo unayotaka Maiga akemee.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Yule Jamaa aliyekataa Mshahara wa Tsh 400M kampuni yake yashinda tuzo ya Tsh 340M

    Hakuna mwanadamu anayemiliki mashine ya kuprint pesa yake mwenyewe. Halafu hizo pesa zake azitumieje wapi? Watu wanakuelekeza, hebu elewa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana ,usifanye hivi gari yako itawaka moto

    Bulb za 1000w Zufungwe kwenye gari lenye wiring za kipenyo 3mm. Na umeme wa 12V. Hizo taa haziwezi kuwaka zaidi ya dak moja
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Download app ya BURMA TV ipo play store
Back
Top Bottom