Recent content by abelrobert

  1. A

    Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

    Nyie mna bishana na maccm ukitaka kuamini kwann mtu aseme km ccm B act iko hv ccm yenyewe siitakuwa tishio maanaake ni ccm anajifanya yuko act kweli nmeamini act ccm B
  2. A

    Tundu Lissu VS Zitto Kabwe, nani zaidi katika siasa za kibunge?

    Zzk mpenda Madalaka ndio cfa yake Kubwa
  3. A

    Tundu Lissu VS Zitto Kabwe, nani zaidi katika siasa za kibunge?

    Wanachadema ampacho hamkijui nikwamba wote wanaojifanya wao ni CHADEMA wafuasi wa zzk ckweli hayo ni maccm yanawapotosha wanachadema zzk kafanya Jambo baya kutaka kuuwa upinzani tz.lkn hajafanikiwa labda kapunguza kidogo lisu ni mwanaume anayeweza kucmamia micmamo yake na chama
  4. A

    Zitto Kabwe akiomba kura nafasi ya Uongozi wa Chama ACT

    Zzk co wakuongelewa hv tunampaisha mtu ambaye kaanguka tumuache ili asahauliki kabisa hapa JF leteni maendeleo ya chadema na ukawa tu.piah naombeni kama mna picha za hiyo nyomi ya Iringa 2015 magamba chali pamoja na mbinu zao za kuianzisha act.wote tutawagalagaza
  5. A

    Tundu Lissu VS Zitto Kabwe, nani zaidi katika siasa za kibunge?

    Lisu yuko juu kiukweli nikinacho nifanya nmukubali zaidi ya zzk ni kwamba lisu anafanya mambo makubwa na hajikwezi piah hana tamaaa ya madaraka km zzk tatzo la zto nikujiongopea kuwa yupo juu kushinda chama.piah watanzania tambueni kuwa hakuna chama ambacho kitakuwa perfect bali tume ya choka ma...
  6. A

    Fikra duni za wanaCHADEMA

    Magamba nao kila kukicha CHADEMA kwani hawana la kuzungumzia cwaende ACT jamani kila kukicha CHADEMA
  7. A

    Lowassa amjibu Nape

    Fisadi tu yule anatafuta madaraka kwa nguvu ya pesa
  8. A

    Zitto Kabwe, Ukombozi hauletwi kwa maneno matamu

    Kweli watanzania tunahitaji shule.na kwa watu wanao dai wanamfuata zzk ACT either akili zao hawazitumii au ni waongo hawakuwa wafuasi wa chadema bali ni maccm yanajifanya tunamfuata zzk ACT ilikuwadanganya baazi ya wafuasi wa chadema.lkn nawaambieni enyi maccm mnaotumia kivuli cha chadema...
  9. A

    Yaliyojiri Mahakamani: Kesi ya Kadawi Limbui dhidi ya Samson Mwigamba

    Ukawa kwanza mpaka kieleweke zzk msaliti akafie mbali kisiasa na co chadema
  10. A

    Sakata la uenyekiti ACT: LIMBU amvaa Zitto

    Janga kwa zzk
  11. A

    Nani huyu? Enzi za ujana wake

    Nmeteleza ni bora kumpa Dr Slaa kuliko ccm
  12. A

    Nani huyu? Enzi za ujana wake

    Dr Slaa ndio Rais wetu bira kujali kasoro zake mbona duniani wakamilifu wachache na hawataki madaraka sasa kuriko kuwapa maccm nchi ni bora mara Mia kulko ccm.
  13. A

    Orodha ya viongozi na wanachama wa CHADEMA Waliomfuata Zitto ACT Tanzania

    Hata achukue nusu ya chadema hatuteteleki chadema nikizazi cha kipya co wazeee km afande Sele chadema kwanza
  14. A

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Haaaaaa......afande sele anajua kura anapiga zzk kumbe wananchi subiri wapote na umaarufu wao
  15. A

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    Kama ningekuwa bendera kifuata upepo cjui ningekuwa wapi kwahyo mchezaji akihama team na mimi nihame kisa nampenda je akifariki na mimi nifariki kwa kuwa namkubari namkubari sana zzk ila mapambano yangu daima ni kwa chama chenye nguvu ya upinzani na wanaojifanya wanamfuata zzk ACT ckweli ni...
Back
Top Bottom