Nani huyu? Enzi za ujana wake

Nani huyu? Enzi za ujana wake

Kweli pesa ni mali ya shetani! Na matisho yooote juu ya laana ya milele utakapokacha kazi ya mungu bado njemba ikadharau na kudumbukia siasani kusema uhongo na uzandiki ili ipige masese.

Hawezi kufaa kuwa rais maana ni kigeugeu na mwenye tamaa na maaraka na hela.

Bora hata Thomasi mashali yeye hana tamaa ameamua kuwa Rais wa Ghetto Tanzania. Slaa anaweza chagua kuwa Rais wa ex priest. Lol!
 
SWALI: Kama alishindwa kutunza kiapo chake na MUNGU je atatunza kiapo na binadamu wa kawaida akiwa Rais? Sijui
 
Sijui ni shetani wa aina gani alimuingia aisee!

Shetani gani wewe zoba huyu ndio kachagua lililo jema Biblia inasema ni heri kuowa ama kuolewa kuliko kuaka tamaaa zungumzia hao wanajiita watumishi huku wakizini, kunajisi, ujinga ni mtu kuweza kuufanya ukiwa mmoja wapo.
 
Ujana maji ya moto lazima yatapoa. Siku zinavyopita ndivyo nasi tunabadilika.
 
Shetani gani wewe zoba huyu ndio kachagua lililo jema Biblia inasema ni heri kuowa ama kuolewa kuliko kuaka tamaaa zungumzia hao wanajiita watumishi huku wakizini, kunajisi, ujinga ni mtu kuweza kuufanya ukiwa mmoja wapo.

Ameoa sasa? Au anaishi na mchumba, tena mchumba mwenyewe anamwita baba!
 
Dr Slaa ndio Rais wetu bira kujali kasoro zake mbona duniani wakamilifu wachache na hawataki madaraka sasa kuriko kuwapa maccm nchi ni bora mara Mia kulko ccm.
 
Nionyeshe ndani ya Biblia sehemu ilipoandikwa umri wa kuwa mume na mke.

Nani kazungumzia umri mkuu?

Uliona andiko la mchumba wa Dr Slaa juu ya mlinzi wake kutaka kumuua kwa kushirikiana na TISS?

Kwenye lile andiko mchumba wa Dr Slaa alikuwa akitamka baba kwa kumrefer Dr.
 
Sijui ni shetani wa aina gani alimuingia aisee!

Kuna sakarament saba katika roma:
1.................
2.................
3...................
4.................
5...................
6. Upadrisho na
7. Ndoa

Hivyo hajakiuka lolote.
 
Nani kazungumzia umri mkuu?

Uliona andiko la mchumba wa Dr Slaa juu ya mlinzi wake kutaka kumuua kwa kushirikiana na TISS?

Kwenye lile andiko mchumba wa Dr Slaa alikuwa akitamka baba kwa kumrefer Dr.

Wewe hujawai kuitwa baba na mkeo ?, hivi hujui kuitwa baba ni lugha nyingine ya kuitwa kichwa cha familia ?,pole sana kama wewe kwako huitwi baba kwahyo mkeo anakuita mtoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom