Recent content by abelnego_daudi

  1. abelnego_daudi

    Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

    hata mm sijaelewa ila nahisi majibu yamejificha kwenye majibu yake
  2. abelnego_daudi

    Kuna umuhimu gani wa kutoa adhabu isiyotekelezwa?

    haki za binadam wanateteaga mambo mengine mpak wanaboa
  3. abelnego_daudi

    Kuwa na mahusiano na mwanamke anayepiga mzinga ni kipaji kilichotukuka

    ni bora maana wakijua una mke ndo ushakuwa benki kuu cio ATM tena maan mpka kodi utalipa kama sio kumalizia na utajaza room kama ndo mke wapili kumbe unapita tu..
  4. abelnego_daudi

    Kuwa na mahusiano na mwanamke anayepiga mzinga ni kipaji kilichotukuka

    yan kuingia kwenye mahusiano tu ni matatizo maaan swala lakizinga halichez mbali [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  5. abelnego_daudi

    Nilichogundua kuhusu Arusha

    hakuwa na pesa huyo ndo maan akaishia kuchunguza jiji letu
  6. abelnego_daudi

    Nilichogundua kuhusu Arusha

    kwan tz ni america kila maahali kuna najumba ya kifahar mbona jiji kubwa tanzania kuna vijumba vya udongo vilivyopakwa choka
  7. abelnego_daudi

    Wanafunzi wa zamani kidogo tukumbushane

    enzi hizo hatar sana kulikuwa na fungulia dog hiyo ni hatari sana
  8. abelnego_daudi

    Kwa mshahara huu kweli nitaweza kujenga nyumba?

    bado anko,baba, ndugu jamaa hawajapiga simu na mabachela hawajataka uwachangia waageukapera sasa hicho kilichobak mkuu unahesab unahela kwel
  9. abelnego_daudi

    MALEZI: Nilichokiona kwenye gari la shule la watoto wetu

    sure wazazi tunajisahau sana hasa tukimaliza ada ndo tunakabidhi majukumu yote yakulelea walimu
  10. abelnego_daudi

    RIP son of peasant!

    hahahaha
  11. abelnego_daudi

    September 13 maandamano makubwa kufanyika nchini; ni ya vijana wanaotafuta ajira

    c ndo maana tunaandamana coz hatuna kazi na sisi tupate kaz
Back
Top Bottom