Nenda kwa dr bingwa wa maswala ya wanawake. Kuna vitu vingi vinavyosababisha kuwa na tatizo kama hilo.
Dr atakuuliza historia yako na wazazi wako then atafanya vipimo ambavyo atagundua ni nini.
Ila mawazo yangu kidogo nafikiri mayai hayapevushwi vizuri na pia kuta za kizazi ni nene kuliko...
Usihame hapo mpaka uuonee mwisho.
Nakushauri kula kitimoto ile mifupa yake kitimoto iweke ndani ya nyumba. Hutokaa upate hizo shida.
Kuna watu wawili nawafahamu walikumbana na maswahibu kama haya wakafanya hivyo waliishi vizuri.
mzee wa misele
Cook dinner for her, Chakula akipendacho. Mualike. Candle light dinner yenye utulivu wa Hali ya juu. After dinner, jitose mwambie ya moyoni.
Achana na forever living. Jiunge na trevo product. Wana product moja ambayo wanauza na rahisi kuuzika tofauti na foreve ambayo Ina products Nyingi na kuwachanganya customers. Trevo imemsaidia wengi niliowapa product hii. More details kuhusu trevo check www.trevocorporation.com/coach/Abella na...
Trevo-food suppliment ndio mpango mzima. Inavirutubisho kutoka mimea 174. Nimeumwa Miguu kwa Muda mrefu nikitumia dawa tofauti.
Tangu nilipoelezwa kuhusu Trevo nakuanza kutumia miguu imepona na ninaona improvements kwenye maeneo mengine ya mwili pia.
They were right. Tulitakiwa TZ kuwa na investigative journalist ambao wangeichunguza ile video nakuiweka kwenye vyombo vyao vya habari. Ili watanzania waweze kujua if the video was authentic or not.
Ila journalist wetu waganga njaa hawawezi kufanya that type of journalism
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.