Recent content by Abel Tesfaye

  1. Abel Tesfaye

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mbio za mwenge 2022 anaupiga mwingi

    Njia zipo za aina tofauti tofauti, hiyo drilling sio njia ya kutest bituminous Road quality. Labda angetumia mojawapo kati ya hizi 1. Crack index 2. International Roughness Index 3. Friction Testing, au 4. Falling Weight Deflectometer Test
  2. Abel Tesfaye

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mbio za mwenge 2022 anaupiga mwingi

    Huyo kiongozi elimu yake ya upembuzi ndogo sana, haiwezekani mtu unakagua barabara ya lami kwa kuchimba na sururu eti anaangalia ubora. Pia ubora wa dirisha eti kwa kupindisha chuma hajui hayo ni mapambo, yakipinda jee atashindwa kuzindua jengo? Binafsi simkubali uyo kiongozi
  3. Abel Tesfaye

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya madada poa wanakula njama na maaskari kukamatisha wateja wao

    Pole sana, Twendezetu tinder mzee [emoji35]
  4. Abel Tesfaye

    JamiiForums Tanzania Bidhaa zimepanda bei, sasa Soda ni Tsh 600/=

    Arizeti [emoji28]
  5. Abel Tesfaye

    JamiiForums Tanzania NECTA iache unyanyasaji kwa Walimu

    Mbona hatari hivyo, hivi kwanza wale walioenda kumark wameshalipwa stahiki zao hadi sasa?
  6. Abel Tesfaye

    JamiiForums Tanzania Mabasi mazuri kwenda Mwanza

    [emoji28][emoji28] laki tano na nusu iyo kiboko aisee
  7. Abel Tesfaye

    JamiiForums Tanzania Nimevutiwa mno na Jiji la Mwanza

    Mwanza [emoji91]
  8. Abel Tesfaye

    JamiiForums Tanzania Shea na sisi jinsi Ulivyopigwa tukio kwenye Mapenzi na ilikuaje

    Tusimulie kidogo kaka, pole sana [emoji28]
  9. Abel Tesfaye

    JamiiForums Tanzania My recently hit song, yours?

    Swedish House Mafia, the weeknd _ moth to a flame [emoji91]
  10. Abel Tesfaye

    JamiiForums Tanzania Ninampenda Jenifer Kanumba, nisaidieni jinsi ya kumpata

    Jamaa anadai ana ofa ya 300k kwa atakaempa namba
  11. Abel Tesfaye

    JamiiForums Tanzania Ninampenda Jenifer Kanumba, nisaidieni jinsi ya kumpata

    Mimi nnaweza kukutafutia namba lakini sina hakika na malipo yako mkuu
  12. Abel Tesfaye

    JamiiForums Tanzania Wenye Tigo na Halotel wahini hii ofa ya kupewa GB 10 bure

    Halotel [emoji91][emoji91]
  13. Abel Tesfaye

    JamiiForums Tanzania Mke akikufumania fanya yafuatayo ili akusamehe

    Hizi ni Facebook stories bila shaka, sioni haja ya kujipaka damu na ugomvi huisha kwa njia iliyotumika kuanzisha ugomvi
  14. Abel Tesfaye

    JamiiForums Tanzania Hii ni one of the best sex/sexual songs, kama ipo nyingine tuambiane

    Earned it ni balaa sana
Back
Top Bottom