Recent content by Abeid Kambi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika, kumbe anasema ukweli

    Wewe mbulula kweli hapa sio mahala pake hapa hakuna siasa tafuta page mpya anzisha habari zako watu wapandie sasa mambo ya Lissu vipi?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Blogger Robert Alai(Kenya) amtaja RC Makonda kuhusika na Shambulio dhidi ya Tundu Lissu

    Nazidi kupata mashaka saaaana na hii Jamii Forum kwa kweli ila ngoja tuangalie next episode itakuwaje?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

    Ulazima sio urazima nimekupata.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

    Acha ufala wewe atafute kiki ya nini wakati yeye haihitaji kiki anakubalika kitambo kwenye hipo hop ila alichosema ni kweli yule punga Dimpoz mambo yao vipi awahusishe wazazi?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Huu sio wakati wa Mnyika na Kubenea kukaa kimya!!

    Ni kweli wamekaa kimya ila hakuna anaejua kwa nini wamekaa kimya na je hao wahanga/waathiriwa wa hilo tukio zima la uvunjaji je wana haki ya kuvunjiwa ama la?maana kama ni kweli upo eneo ambalo sio stahiki na sheria ikafuata mkondo wake hauna haki ya kulalamika na kama upo kihalali lazima...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wakuu huyu ni nani? Alikuwa anavaa sare za chama lakini sasa yupo na Rais

    Ndio mwanaume huyo acha achakarike mwanaume sio sura wala rangi.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Ukanjanja wa mtangazaji wa Clouds FM, Hassan Ngoma

    Yaani nimewafuatilia sana watangazaji wa clouds huwa wanpenda kuonesha unazi kwenye vitu wapendavyo maana kuna siku namsikia kabisa Shafii Dauda anatetea uozo wa klabu fulani kisa yeye ni mshabiki wa hiyo klabu na kuwaponda wengine.
  8. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyan election 2017 was more vibrant,viewed and talked about world wide than Tanzanian 2015 elections.

    Kalagabahooooooooooooooooooooo
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia mwisho wa Barcelona

    Haya naweka maktaba usemi wako huo halafu nitarudi kama Mungu akituweka hai.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa bei mpya ya vifurushi vya azamtv

    Suala sio kukimbia gharama unaongeza channel halafu unaongeza bei je kulikuwa na ulazima gani wa kuongeza hiyo channel na kulazimisha watu waone anaetaka sawa sio wote wanataka kuangalia mpira hebu mliangalie hilo kwa maraefu na mapana maana hata Dstv wana channels additional kama ukizihitaji...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia mwisho wa Barcelona

    Huyo Huyo jamaa Andre Gomez ni mzuri sana licha ya kuwa umri wake ni mdogo ana miaka 24 tu walimchukua kutoka benfica naona kocha Ernesto Valverde anajaribu kumpa uzoefu ili aweze kuwa na uzoefu na nina uhakika atakuwa katika kiwango bora baadae.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia mwisho wa Barcelona

    Ni kweli kabisa unajua baadhi yetu tumekuwa ni watu wa kutoa matokeo mapema kwa hizo mechi mbili wakati kuna nyingine nyingi zitachezwa na kuamua matokeo.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia mwisho wa Barcelona

    Mie nakuunga mkono kwenye hili ila sio mwisho wao nadhani watajipanga na kuanza upya kama kipindi cha Rijkaard timu ilifanya vibaya ila baadae walirudi na kufanya vizuri kinachowasumbua kikubwa Barcelona ni ukongwe wa wachezaji wao na ndio naona huyu kocha mpya Ernesto Valverde amekuja na...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mke wangu kalipenda hili jitu nini?

    Kama una gari au kama hauna basi fanya mpango umsindikize mpaka kituoni mlipie nauli kabisa hakikisha umepakia mizigo yake na yeye mwenyewe amepanda na gari likiondoka umuage then rudi nyumbani maisha yaendelee.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe anapiga simu usiku saa nne saa tano nikiwa kitandani

    Hapo inabidi umwambie mkeo labda hakupewa neno kuhusu Ndoa inataka vitu gani na haitaki vitu gani maana katika vitu ambavyo vinachangia kuvunja ndoa nyingi ni wazazi aka wakwe haswa ukikuta mwanamke amemshiba sana kwa mama yake kwa hiyo umwambie akikataa basi mwambie mama mkwe kwamba muda huo...
Back
Top Bottom