Bomoabomoa inaendelea kimara mbezi nakuendelea ni vilio vitupu watu wanazirai wazee wanalia wengine wanazimia kwa kuvunjiwa nyumba zao wamebaki kama yatima hawana mtetezi mahakama hazisikilizwi tena sauti za wahanga hawa ni wabunge wao waliojipanga mistari kuwapigia kura cha ajabu wako kimya ,,Simameni jitokezeni pazeni saut tuwasikie huu sio muda wa mnyika na kubenea kukaa kimya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app