Recent content by abdulrahim

  1. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania VODACOM mnatusumbua wateja wenu

    Rudi Nyumbani 073...Kumenogaaa
  2. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake wa Dar hawajawahi kuwa na nauli

    Experienced one!!
  3. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania BARUA YA WAZI KWA MKURUGENZI MANISPAA YA MOROGORO

    Ndg. Mkurugenzi, Yah: ZUIO LA KWA WAFANYABIASHARA KUENDESHA BIASHARA ZAO NYAKAZI ZA ASUBUHI KWA SIKU ZA KILA JUMAMOSI YA MWISHO WA MWEZI. Kwanza kabisa naomba niwapongeze kwa kazi nzuri ya ujenzi wa stand ya kisasa na usimamizi mzuri. Moja ya chanzo kikuu cha mzunguko wa pesa katika mji wa...
  4. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania Magufuli hajaleta nidhamu makazini, bali ameleta woga kwa watumishi.

    Ongeza Balimi ya Tano niko njiani
  5. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania Vodacom huduma zimekuwa ghali

    Rudi nyumbani ndg, kumenoga saana TTCL Gharama ni kitambulisho chako tuu line ya 4G yenye kasi ya ajabu kwa bei ambayo utajikadiria wewe mwenyewe! Karibu saana
  6. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Mgumba yuko wapi?

    Wanaotafutwa na RC wao wanajulikana tuu!!
  7. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania Mh. Waziri tuharakishie hiyo miongozo ya mifuko ya jamii hasa PSSSF ili tujue hatma ya mafao (FAO LA MKOPO WA ELIMU)

    Mheshimiwa, Kila wakati ukienda kuulizia juu ya fao la mkopo wa elimu kwenye mfuko wa PSPF jibu unalopewa ni kwamba muongozo haujatoka. Ni mwezi wa pili sasa hata wafanyakazi nao hawajui majibu ya kutupa kama fao lipo ama halipo. Najua sheria inapopitishwa basi mambo mengine ya miongozo nayo...
  8. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    We jamaa hunitakii mema..!!!
  9. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kukojoa tangu nianze kusex

    Ukifiki 25yrs utakojoa, Kwa sasa subiria kwanza
  10. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Siku zote Adui yako huangalia udhaifu ulionao na kupita kwenye njia zako hasa zile nyeusi. Hili swala ni pana na sisi wananchi hatuna budi kuliacha kwa vyombo vya Intelijensia kufanya kazi yake kwa upana na kuja na majibu sahihi ili kumwokoa msichana mzuri na Kigori (Bongo) kutoka kwa mapapa...
  11. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Wangefanya nini asa we unafikiria wakati watu wenyewe hawajulikani si wanaweza wakawa Malaiaka hao
  12. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania TTCL: Hakuna tena kifurushi cha chuo (Boom pack) ttcl!!

    Nyumbani kunazidi kunogaaa tuu!!!
  13. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania TTCL MOTO JUU - Nyumbani kumenoga 10GB kwa Tsh. 1,000/= Usiku!!

    ni majungu na fitina, ushirikiano ni kama vidole tu, vinashirikiana wakati wa kuvunja chawa tu!!!
  14. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania Taja taasisi idara na mashirika yanayofanya serikali ichukiwe

    Unaumwa MAVI sio Bure
  15. abdulrahim

    JamiiForums Tanzania TTCL MOTO JUU - Nyumbani kumenoga 10GB kwa Tsh. 1,000/= Usiku!!

    Ahsante saana Mkuu!! Barikiwa
Back
Top Bottom