TTCL: Hakuna tena kifurushi cha chuo (Boom pack) ttcl!!

TTCL: Hakuna tena kifurushi cha chuo (Boom pack) ttcl!!

Ila ttcl ni kwikwi sana, ukibadilishia line kwenye sim nyingine mnara unakata kabisa, mara ukibadilisha port inasusa, mara ukiwasha line nyingine kwa data inakata inapotea kabisa! Duh kweli home kumenoga!!!
 
Nimeona kifurushi cha mwezi cha Data pekee kiko hivi
1. GB 2 = 2500/=
2. GB 5 = 5000/=

Kifurushi cha bando cha mwezi.

DK200 (TTCL-TTCL) + DK25 (Mitandao yote) + SMS250 + GB4 = 5000/=
Ni kweli mkuu..... Ndio penyewe hapo
 
Nimeona kifurushi cha mwezi cha Data pekee kiko hivi
1. GB 2 = 2500/=
2. GB 5 = 5000/=

Kifurushi cha bando cha mwezi.

DK200 (TTCL-TTCL) + DK25 (Mitandao yote) + SMS250 + GB4 = 5000/=

Akhui Mwifwa! Bundle za chuo zikoje kwa sasa? Na kasi yao ikoje kwa kanda ya ziwa?
 
Back
Top Bottom